Bra-joe
JF-Expert Member
- Apr 2, 2012
- 1,842
- 1,431
Binti wa kindengeleko alizaa na Mchina, baada ya miezi minne yule mtoto alifariki, siku ya mazishi bibi wa yule mtoto alikuwa analia sana huku akirudia neno nilijua tu, nilijua tu, nilijua tu. Alipoulizwa ulijua nini? Alijibu "nilijua tu, vitu vya kichina havidumu"