Ni muda mrefu sasa wanatangaza baada ya siku 15, siku hizo zitafika lini hata leo wametangaza baada ya siku 15.
Kwanini ving'amuzi vyote vinafanya kazi vizuri, na cha continental tu ndio kina utata?
Kila siku wanaomba radhi na kusema baada ya siku 15.
Ni ninyi hawa hawa mlioingiza siasa kwenye hili mkaanza kuwaponda Starimes, endeleeni kula mlichokipanda.

wewe shika remote yako sehem imeandikwa menu bonyeza, utaona sehem imeandikwa comon seting hamia upande wa pili ulioandikwa factory search hapo then password ni 0000 subiri itasachi zaidi ya chaneli 160 bure fanya sasa hivi leta feedback
King'amuzi kipi sasa mkuu
TCRA hoyeeee, kwa taarifa yako, sio kila walichokisema TCRA kinatekelezwa na hii waliyoita digitali, channel za ndani hazionekani kama walivyoagiza na hadi sasa wengi i.e star tv, clouds, itv, eatv kila mmoja anajitahidi kutoingia kwenye hiyo bracket ya local channels - sidhani kama tcra wana definition ya local channel na paid channels. Otherwise ilitakiwa hata kwenye DSTV tufaidi hayo ma channel tena bila kulipia chochoteNi ninyi hawa hawa mlioingiza siasa kwenye hili mkaanza kuwaponda Starimes, endeleeni kula mlichokipanda.
Mkuu St.Apolinary hiki ni majanga maana kina kama wiki hakionekani sijui wanasema umeme umelate shida ni balaaNadhani hii ni continental
Mkuu St.Apolinary hiki ni majanga maana kina kama wiki hakionekani sijui wanasema umeme umelate shida ni balaa
Vipi kuhusu startimes nayo inaonekanaje kwa wanaovitumia vyenyewe havisumbui sana
Naomba kujuzwa jamani