Vya bure vinagharama - king'amuzi cha continental

Niambieni

JF-Expert Member
Joined
Jul 20, 2011
Posts
625
Reaction score
171
Ni muda mrefu sasa wanatangaza baada ya siku 15, siku hizo zitafika lini hata leo wametangaza baada ya siku 15.

Kwanini ving'amuzi vyote vinafanya kazi vizuri, na cha continental tu ndio kina utata?

Kila siku wanaomba radhi na kusema baada ya siku 15.
 
Ni ninyi hawa hawa mlioingiza siasa kwenye hili mkaanza kuwaponda Starimes, endeleeni kula mlichokipanda.
 
Kwa ukweli ukiachana na ubora wa decoder zao star times wamejipanga kufanya biashara na wanauwezo na uzoefu mkubwa kulinganisha na hao conti na digitek,kweli vya bure ni gharamaa.
 
Dish na decoda yake na ufundi juu haizidi 250,000 unalamba FTA kibao unasahau hawa watu!
 
Mradi mwingine wa ccm huo.Poleni sana kwani ccm ni matapeli wa kimataifa
 
Ni muda mrefu sasa wanatangaza baada ya siku 15, siku hizo zitafika lini hata leo wametangaza baada ya siku 15.

Kwanini ving'amuzi vyote vinafanya kazi vizuri, na cha continental tu ndio kina utata?

Kila siku wanaomba radhi na kusema baada ya siku 15.

wewe shika remote yako sehem imeandikwa menu bonyeza, utaona sehem imeandikwa comon seting hamia upande wa pili ulioandikwa factory search hapo then password ni 0000 subiri itasachi zaidi ya chaneli 160 bure fanya sasa hivi leta feedback
 
King'amuzi kipi sasa mkuu
 
Ni ninyi hawa hawa mlioingiza siasa kwenye hili mkaanza kuwaponda Starimes, endeleeni kula mlichokipanda.
TCRA hoyeeee, kwa taarifa yako, sio kila walichokisema TCRA kinatekelezwa na hii waliyoita digitali, channel za ndani hazionekani kama walivyoagiza na hadi sasa wengi i.e star tv, clouds, itv, eatv kila mmoja anajitahidi kutoingia kwenye hiyo bracket ya local channels - sidhani kama tcra wana definition ya local channel na paid channels. Otherwise ilitakiwa hata kwenye DSTV tufaidi hayo ma channel tena bila kulipia chochote
 
Vipi kuhusu startimes nayo inaonekanaje kwa wanaovitumia vyenyewe havisumbui sana

Naomba kujuzwa jamani
 
Ni ninyi hawa hawa mlioingiza siasa kwenye hili mkaanza kuwaponda Starimes, endeleeni kula mlichokipanda.

kweli kabisa....humu watu wanafiki sana walikuwa wanaponda startimes wakati iko poa tu leo hii wanalia na walizokuwa wanapigia debe...
 
Ni ninyi hawa hawa mlioingiza siasa kwenye hili mkaanza kuwaponda Starimes, endeleeni kula mlichokipanda.

Startimes yenyewe sasa hivi hata local chanel unalipia wameshakata matangazo kwa local chanel
 
Back
Top Bottom