Vw bora kwa ajili ya spare tu

Vw bora kwa ajili ya spare tu

Misa

JF-Expert Member
Joined
Jul 5, 2013
Posts
838
Reaction score
135
Hii gari kwa ajili ya kuchomoa spare tu,inauzwa spare tu,anayehitaji parts anaweza ni pm
 

Attachments

  • VW-BORA.jpg
    VW-BORA.jpg
    32.7 KB · Views: 106
  • VW-BORA.jpg1.jpg
    VW-BORA.jpg1.jpg
    32.8 KB · Views: 119
eleza ni vwgani,polo,golf,touren au ni mandolini hiyo.imekufa nini mkuu mpaka umeamua uichomoe spea? maana inaonekana bado nzima
 
Anayehitaji spareparts za VW POLO ani pm. Gari ni nzima inatembea ila kwa sasa haina mtumiaji. Nimeamua kuuza spareparts.

Tiba
 
Back
Top Bottom