VVU na Ukimwi

mzungu wapink

Member
Joined
Oct 9, 2018
Posts
80
Reaction score
123
Magonjwa yanayosababishwa na hiv/aids ni Yale Yale tunayoumwa kawaida kila kukicha

Swali ni

Je unajuaje kama hii sio homa ya kawaida au malaria ya kawaida bali ni dalili za HIV?

au hizi tezi hazijavimba kawaida bali ni dalili za HIV? Tunatofutishaje kati ya dalili na Hali ya kuumwa kawaida?
Yani ni level gani inaweza kuitwa ni dalili ya hiv nasio kawaida


Sent using Jamii Forums mobile app[
 
Unaenda katika kituo cha afya kufanyiwa uchunguzi
Maana Hata Homa ya dengue ina homa sawa
Malaria
n.k

Wahi kituo cha afya
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…