Chukwu emeka
JF-Expert Member
- Jan 12, 2018
- 23,412
- 36,567
Kuna Dada namfahamu,alijitangaza tangu 2003 bado anaafya njema na ni mrembo Kweli kweli "in Magu's voice".
Usiwe na wasiwasi mpendwa Kuna magonjwa yana maumivu zaidi ya HIV. Jiamini kwamba huna na vipimo vitatoka fresh
Usiogope mpendwa sote ni marehemu watarajiwa kujua afya ni bora zaidi.Asante kwa ushauli mkuuuu🤝
Habari,
Ningependa kwa anaetambua mtu anaweza akakaa na virusi vya ukimwi kwa muda gani kabla ya kujidhihilisha kama hajapimaa?
Dalili ipi kubwa atakuwa nayo ambayo inaonyesha wazi ana Upungufu wa kinga mwilini UKIMWI?
Inaelezwa kwamba virusi vya Ukimwi vinapokuingia na kutulia mwilini mwako, hukaa hadi mauti yatakapokukuta.
Virusi hivi viwapo mwilini kushambulia mfumo wa mwili kujikinga na maradhi na kuudhoofisha kabisa kiasi cha mtu kuwa mwepesi kupata magonjwa mengine,
Muda halisi ni miaka10 ambapo virusi vinakuwa vikijibadili na kuelekea mwishoni huwa dhahama zaidi khasa pale mgonjwa anapokosa zile dawa za kutuliza virusi.
Usiogope mpendwa sote ni marehemu watarajiwa kujua afya ni bora zaidi.
Ni muda wa miezi 6 tu, basi.
Hamna kitu kinachoitwa virus vya ukimwi, kwa sababu havipo, hivyo hakuna ugonjwa unaosababishwa na hao virusi, ukimwi husababishwa na lishe duni na mazoea mabovi yenye kuharibu mwili na kinga. Kula vizuri ishi kwa afya, hakuna ukimwi. Mengineyo ni biashara tu ya magonjwa yenuHabari,
Ningependa kwa anaetambua mtu anaweza akakaa na virusi vya ukimwi kwa muda gani kabla ya kujidhihilisha kama hajapimaa?
Dalili ipi kubwa atakuwa nayo ambayo inaonyesha wazi ana Upungufu wa kinga mwilini UKIMWI?
Hamna kitu kinachoitwa virus vya ukimwi, kwa sababu havipo, hivyo hakuna ugonjwa unaosababishwa na hao virusi, ukimwi husababishwa na lishe duni na mazoea mabovi yenye kuharibu mwili na kinga. Kula vizuri ishi kwa afya, hakuna ukimwi. Mengineyo ni biashara tu ya magonjwa yenu
DuuuuuuuuuuHabari,
Ningependa kwa anaetambua mtu anaweza akakaa na virusi vya ukimwi kwa muda gani kabla ya kujidhihilisha kama hajapimaa?
Dalili ipi kubwa atakuwa nayo ambayo inaonyesha wazi ana Upungufu wa kinga mwilini UKIMWI?
Wanapenda kavukavu wenyewe wanasema nyama kwa nyama!Tatizo gonjwa limekaa kona mbaya sana,..na vijana wengi hawana stamina..
Wanapenda kavukavu wenyewe wanasema nyama kwa nyama!Tatizo gonjwa limekaa kona mbaya sana,..na vijana wengi hawana stamina..
Sio vijana tu hata wewe.Tatizo gonjwa limekaa kona mbaya sana,..na vijana wengi hawana stamina..
Yani ni shida, hiyo kona ukijidai una speed zako lazima uangushe gari.Tatizo gonjwa limekaa kona mbaya sana,..na vijana wengi hawana stamina..
Nadhani mimi ni kijana pengine kuliko wewe😛😛😛lakini sio kila mtu unakosa kuwa na stamina nae...lolSio vijana tu hata wewe.
Ukishajua radha ya yale mambo huwezi kuvumilia kuacha mbachao kwa msala upitao 😝😝