nondo kilimanjaro
Member
- Oct 30, 2017
- 93
- 43
virus vinaweza kuingia kwako ila vikakuta kinga yako iko juu na baadaye vikaanza kuisha vyenyewe, hii inatokana kwa kipindi hicho diet yako ikoje.Inakuwaje unatembea na Muathirika wa HIV na haupati?
ila vikiingia wakati kinga yako iko chini, na diet yako ni mbovu tegemea maumivu. ila ukiwahi kama video niliyotuma hii mapema vitapungua vyenyewe, ila kuna mpangilio maalamu unatakiwa kupangilia diet yako, na ushahidi ninao.