VVU kwa watoto U<15 na utayari wa wazazi wao kuwaanzishia dawa za kupunguza makali.

gfsonwin

Kadri siku zinavyosonga upimaji wa VVU ndivyo unavyozidi kupungua...! Nadhani kuna siku WHO wata-declare kuwa "dunia haina tishio la HIV/AIDS"
 
Last edited by a moderator:

Skulmet njoo kwa Rehema hapa tujadili huu mswada.
 
Last edited by a moderator:
Mwenyezi Mungu tusaidie ili Tanzania nzima wagonjwa wote wa Ukimwi wapone tuanze upya. Nina uhakika hakuna atakayeupata teena
 
Sababu kubwa ambayo niliipata kwamba kwann wazazi huogopa kumpima mtoto niliambiwa ni AIBU kwamba wazazi huona aibu lkn nikajiuliza hivi aibu hii haitawapata pindi mtoto atakapougua kiasi cha kumletea umauti??

Dr mmoja aliniambia wazi kwamba baadi ya wazazi hasa wamama hudiriki hadi kuongopa history ya ugonjwa wa mtoto hivyo kum-mislead Dr. sasa je hapa unampoteza Dr ama mtoto??

kwa taaluma ya udaktari huyo dokta atakuwa amekupotosha madam,,,,,,,,,,,,,,

kinga ya maambukizi kwa mtoto kutoka kwa mama huanza toka siku ya kwanza mama anapokanyaga kliniki,,,,,,,

huko hupata ushauri nasaha na kupimwa kama mama ana maambukizi ya VVU ili hatimaye kuanza utaratibu wa kumzuia mtoto asipate maambukizi akiwa tumboni , wakati anazaliwa na wakati wa kunyonya.

mama akishapimwa basi itaandikwa kwenye kadi yake ya kliniki kama ameambukizwa au bado yupo salama, kwahiyo popote pale akienda kupata huduma za ujauzito itaonekana kwenye kadi yake ya clinic.

hivyo basi kutokana na hapo juu , mtoto atakayezaliwa na mama mwenye maambukizi hufahamika kama
exposed child, na kudeclare kama ameambukizwa ni mpaka hapo atakapopimwa rasmi kwa vipimo vya watoto ambavyo hupatikana kwenye vituo vichache hapa nchini.

mtoto akishakuwa expose child , basi huduma ya kumfuatilia huanza hapo hapo bila kusubiri hata majibu ya PCR.

zaidi ya yote kuna tools ambazo WHO walitengeneza ili zisaidie wahudumu wa afya katika kufikia diagnosis ya HIV child hata kama huna historia direct kutoka kwa mama ya kukuambia mtoto anamaambukizi untill proven otherwise by diagnostic test ( PCR kwa watoto chini ya umri wa miezi 18 au virological test kwa watoto wenye umri zaidi ya miezi 18) ,,,,,,,,,, hiyo Tool inaitwa IMCI criteria for the diagnosis of HIV/AIDS.

SASA SIONI NI WAPI MAMA ATAJIFICHA AU KUFICHA HIYO UNAYOSEMA AIBU , KWANI MTOTO KUFAHAMIKA KAMA ANAMAAMBUKIZI INAKUWA IMESHAHISIWA TOKA AKIWA TUMBONI.

tatizo kubwa itakuwa ni POOR DRUG ADHERENCE au DRUGS COMPLIANCE.
 
ndugu yangu ngoja nikwambie hayo unayoyasema wewe ni ndharia tu ila vitendo hakuna kabisa binafsi hapa nina ushahidi wa watoto sita ambao ndio tumewanzisha klinik wiki iliyopita ambao toka wazaliwe miaka 12-15 iliyopita hawajawah kupimwa na wazazi walikataa.

Vitendo kwenye hili havipo kabisa ila nadharia zipo nyingi tu
 
hiyo kazi ya kuhesabu magari itakua PEPFAR funded bila shaka, na FY ndo imeisha hv cpati picha hizo mbio za kukimbiza data kituo hadi kituo BTW target zimefikiwa lakini
Ila issue ya care kwa watoto is really frustrating at times...yan mzazi anapewa somo wee la umuhimu wa kumuazishia dawa mtoto mapema wapii hasikii kitu, na umwambie alete siblings waje kupimwa nao sasa duuh kila siku tarehe tu na sababu kibao..., sehemu zingine family day clinics ni kama zimefail kabisa mana ilikua waje wazazi na watoto na lengo ikiwa kuhudumia watoto zaidi lakini ndo kwanza watu wazima wanakuja wenyewe kwa kujua siku za clinic ya watoto foleni inakua ndogo
 
Mi nieleze unyonyeshaji kwa mama aliye athirika maana nasikia mtoto anatakiwa anyonye miezi sita bila kupewa kitu kingine chochote ata maji
 
Thread nzÙri sana hii ya kuelimisha bravo!!nilichogundua MMU ukileta thread ambayo ni educative kama hii..huwa haichangiwi sana ama kabisa!!lakini leta thread ya midushelele na vipochi...

Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
 
ndugu yangu ngoja nikwambie hayo unayoyasema wewe ni ndharia tu ila vitendo hakuna kabisa binafsi hapa nina ushahidi wa watoto sita ambao ndio tumewanzisha klinik wiki iliyopita ambao toka wazaliwe miaka 12-15 iliyopita hawajawah kupimwa na wazazi walikataa.

Vitendo kwenye hili havipo kabisa ila nadharia zipo nyingi tu

labda Private palipo na ujanja ujanja mwingi na malengo yao ni biashara , ,,,,,,,, ndiyo muhudumu wa afya anaweza kukubali na kuchukua Risk ya kumuhudumia mjamzito ambaye status yake haijulikani............
 
hiyo kazi ya kuhesabu magari itakua PEPFAR funded bila shaka, na FY ndo imeisha hv cpati picha hizo mbio za kukimbiza data kituo hadi kituo BTW target zimefikiwa lakini
Ila issue ya care kwa watoto is really frustrating at times...yan mzazi anapewa somo wee la umuhimu wa kumuazishia dawa mtoto mapema wapii hasikii kitu, na umwambie alete siblings waje kupimwa nao sasa duuh kila siku tarehe tu na sababu kibao..., sehemu zingine family day clinics ni kama zimefail kabisa mana ilikua waje wazazi na watoto na lengo ikiwa kuhudumia watoto zaidi lakini ndo kwanza watu wazima wanakuja wenyewe kwa kujua siku za clinic ya watoto foleni inakua ndogo

sasa wewe umesema nilichokiona mimi yaani hii iko very frustrating halafu huku Clinics wanabaki na rekods za uongo manake idadi ya watoto wagonjwa sio iliyopo kwenye jamii husika kabisa. asakuta same nafikiri akikusoma ataeelewa nilichomaanisha mimi. Sasa hivi nimejitolea kuchukua watoto ambao wana hali mbaya na kuwaanzishia matibabu huku ukijaribu kuwa na mzazi kila siku wengine sisemi uongo naenda hadi kuwafanyia usafi majumban na kuwapikia ili kuhakikisha ile home based care kwa huyu mtoto inakuwepo.

Nina case ambayo niliifanya kuwa familia yangu kwa wiki 3 mfulululizo, yaani baba na mama ni + mtoto mkuwa hana na mdogo wa mwisho hana manake yy alikutana na kinga ya mama kwa mtoto ila hawa watatu waliozaliwa katikati wote ni wagonjwa. Mama toka ajifungue hakutaka kwenda klinik alijiona ana nguvu, niliwakuta familia yote ni wagonjwa na hawajielewi wafaye nini eti wanaogopa imagine.............

tulianza matibabu mwezi wa 3 mwaka huu, na wakaanza wote dose huwez kuamini leo hii ni wenye afya, hawana magonjwa nyemelezi tena na watoto wanasoma vizuri. Ninachoendelea nacho kwa sasa ni kuwafundisha hawa watoto watatu jins ya kujitunza manake ni vibinti vinavyokaribia kuvunja ungo, hivyo wasije wakamweka mdogo wao kwenye risk ya maambukizi.

najiskia furaha sana juu ya hii familia na naona ukweli wao waliamua kwa dhati kwamba wanataka kusaidika na mpango wa hizi dawa.

Nataka niwatie moyo wengine jamani kama mnaogopa basi kwa usiri mkubwa nitakusaidia tu ama kama ni ndugu yako na unashindwa nishirikishe UKIMWI sio ugonjwa mbaya hivyo wapendwa wangu. tusiogope kabisa.
 
Last edited by a moderator:
Mi nieleze unyonyeshaji kwa mama aliye athirika maana nasikia mtoto anatakiwa anyonye miezi sita bila kupewa kitu kingine chochote ata maji

unyonyeshaji kwa mtoto yeyote hutakiwa ni kwa muda wa miezi 6 bila mtoto kulikiziwa chakula kingine chochote. Lakini pia hali hii huko mtaani haiko hivyo kwan kutokana na majukumu ya mama hawamudu kumyonyesha mtoto hadi umri huo pasi kumlikizia.

Kwa mama ambaye ni muathirika na ambaye mtoto wake amezaliwa salama bila maambukizi basi hutakiwa kuwa makini sana na jinsi ya kumyonyesha mtoto ili asije akamuambukiza. Ikumbukwe kwamba Ukimwi hukaa kwenye damu ama majimaji ya mwilini na sio kwenye maziwa manake maziwa ni chakula na hiki utengenezwaji wake na kuhifandhiwa kwake ni tofauti na jins damu inavyotengenezwa na kuhifadhiwa mwilini ama majimaji mengine ndani ya mwili.

maziwa huwa na virutubisho tu hivyo sio growing medium kwa virus na hili hufanya yaendelee kuwasalama zaid.

sasa nini hutokea hadi maziwa yaweze kubeba virus?? iwapo mama atakuwa na kidonda kwenye chuchu/ titi na hasa titi kama itakuwa kwa ndani na mama huyu maziwa yake yaliyotengenezwa salama kwa maana kwamba yanavirutubisho huweza kuwa contacted na virus.

sehemu ya chuchu mara nyingi, hupata vidonda kutokana na aina ya unyonyeshaji wa mama mwenyewe, mfano mama ambaye huacha maziwa yake yakajaa sana na wakati wa kunyonyesha humfanya mtoto anyonye kwa kuuma chuchu manake chuchu huwa ngumu hali hii humsababishia mama vidonda na kwa kua fizi za mtoto ni laini sana basi wakati wa kuuma fizi hizi huchubuka hivyo kupelekea kumuambukiza mtoto.

iwapo titi lina kidonda basi mama asitumie titi hilo kumyonyesha mtoto manake linaweza kabisa kumpa mtoto maambukizi.

mama anyonyesheje mtoto??
mama anatakiwa amnyonyeshe mtoto wake titi ambalo halijajaa sana maziwa na ikiwa limejaa basi mama ayapunguze maziwa ama kwa kuyaacha yamwagike kidogo yapungue huku akikanda kwa maji ya moto sehem ya juu hadi lilainike kabisa na maziwa yapungue.

ahakikishe mtoto anaponyonya haumi chuchu yaani ananyonya kwa ile njia ambayo chuchu haiumizwi. iwapo mama ataona kwamba mtoto wake ni mtundu na kila ashikapo chuchu huanza kukuna fizi zake basi mama amwachishe mtoto nyonyo na awe anakamua maziwa yake kwenye kikombe na ampe kwa njia ya chuchu za chupa.

ingawa njia hii huumiza wamama wengi lkn kwangu mimi naona ni vyema sana manake mama atakachofanya yeye ni kukamua maziwa kiasi ambacho mtoto anataka kunywa na kumpa mtoto.

mtoto ambaye mama anaish na maambukizi ni vyema pia ukimlikizia mapema miezi 3 uanze kumpa maziwa ya ng'ombe na sio ya makopo unless kama unauwezo basi ununue special formula kama maziwa yake. hakikisha kwamba maziwa haya ya ngombe unayapata kwa mtu anayeaminika na uyachemshe sana kisha uyaache yapoe upunguze kiasi cha fats ndipo mtoto apewe. ingawa maziwa ya mama ni bora zaid lkn ya ng'ombe husaidia na humounguzia mama mzigo wa kujiskia vibaya kwa mtoto wake kukosa maziwa.

mtoto mchanga asilimia 75 ya mlo wake hutakiwa uwe ni maziwa hivyo mama anapaswa kujitahd kumpatia mtoto huyu maziwa kila mara na sio lazima yawe yake.

ni muhimu sana mama kuzingatia usafi, wakat wa kumlisha mtoto wake na pia kuwa makini kumkinga mtoto na maambukizi. ukiona mtoto ni mjanja tu acha mara moja kumpa nyonyo anza kukamulia maziwa ili asije uma chuchu ikawa mtihani kwa mama.
 
mmmmmmmh! gf siyo rahisi hivyo kama unavyoizungumzia.
 
Hakuna siku nitakaa niisahau Mama mmoja alikuja na mtoto ameathirika wa miezi mitano machozi yalinitoka sababu anaogopa kumpima mtoto wakati yeye anatumia dawa kha sitaki hata kuikumbuka hiyo siku mtoto yaani amekonda macho yamemtoka kichwa kime....agrrr wazazi sisi wazazi wacheni tu tuweni na huruma wakati mwinginw
 
Back
Top Bottom