proisra
JF-Expert Member
- Jun 14, 2012
- 215
- 159
Kumbe pepo la Damu kuna wakati linatosheka. Sasa Hamas hukoGaza wamesalimu amri kuanzia leo saa2:00 asubuhi. Wananchi wa Gaza wameanza kukilaumu kikundi hiki baada yakugutuka kumbe walisalitiwa. Hapa nimejaribukuweka makosa manne ya Wananchi wa Gaza kujiingiza kwenye vita wasiyoiweza na Israeli:-
Kwa sasa Kinachosubiriwa nikuona hao wananchi wa Gaza wakiachana nasiasa kali za uhasama dhidi ya Israeli. Kizazi cha sasa hivi hakijui historia,iwe ni Uarabuni au hata hapa kwetu Tanzania. Mtu mmoja tu Samson (Mnadhiri waMungu) aliwahi kuangamimza watu 3,000 hukoGaza miaka zaidi ya 3,200 iliyopita (WAAMUZI 16:1-31). Iron Dome ni teknolojiaitakayotafutwa sana duniani kote baada ya vita hii. Israeli kwa sasa inajiandaakupokea mabilioni ya dola kuwatengenezea nchi nyingine mfumo huu wa kujilinda
===
SOURCE: http://news.yahoo.com/video/israel-withdraws-gaza-truce-begins-103614276.html
- Viongozi wengi wa HAMAS wapo uhamishoni Dubai auLebanon wanakula Bata. Wananchi wa Gaza waliponzwatu kwamba wafanyike Ngao ya Kibinadamu(Human Shield) dhidi ya Midege ya Israeli eti wakifanya hivyo Israeli itaachakudondosha mabomu‼, Thubutu. Wapo waliokubali, lakini mara hii wapo wapi? Makaburini.Waswahili husema "Kwa mwoga huenda kicheko lakini kwa shujaa…."
- Hamas walijidanganya, eti kwa kuwa Mahandaki(TUNNELS) yapo mengi kuelekea Israeli, basi Isreli haitatia mguu wake Gaza.Thubutu‼….. Mguu wanaume walitia na kuharibu handaki moja baada ya jingine,zaidi ya 32 yakawekwa levo.
- Iran ndiyo ilitoa teknolojia ya maroketi kwaHamas. Kitendo hiki kiliwapa moyo Hamaskuwa, angalau wanayo maroketi ya "bwanamkubwa wa nyuklia" yenye uwezo wa kwenda umbali mrefu hata kuifikia Jerusalemu.Thubutu‼.. Unachezea Israeli wewe‼ Iron Dome ikayatungua moja baada ya jingine….Kumbe kile kinachoonekana kama teknolojia ya Iran si cho chote wala nini.Hayana mwelekeo, yanajiongoza tu yenyewe bila shabaha (Not precise). Mwishowe,Hamas wakapata kipigo kinachoeleweka kutoka Israeli.
- Hamas waliibeza IRON DOME SYSTEM. Walipoambiwa mfumohuu wa kujilinda na makombora ni pekee duniani, walidhani mchezo. Thubutu…… Hamaswakawateka wale vijana watatu (3) wa Kiyahudi kasha kuwaua. Wakapongeza waliotekelezahilo tukio la kinyama. Baadae waanza kuyarusha miroketi yao kuwalenga raiaIsraeli. Zaidi ya roketi 3,000 zimerushwa ovyo ovyo kuelekea Tel Aviv,a Jerusalem hadi leo hii. Tupige Hesabu? Raiawatatu (3) peke yao huko Israeli wamekufa kutokana na hiyo miroketi ya Iran. …. Maana yake, roketi 1,000 zina uwezo wa kumuua raia mmojapindi zikirushwa. Ahaa, mtego wa Hamas uliotegwaili Israeli iangamie, Mtego ule ule umewanasa wale Hamas walioutega.