Nazjaz JF-Expert Member Joined Jan 20, 2011 Posts 7,850 Reaction score 9,423 Oct 17, 2012 #21 waislam wameamua mwaka huu, kweli M'kwere legelege, Mkapa alikuwa anawatia adabu hadi wanakoma
Saint Ivuga JF-Expert Member Joined Aug 21, 2008 Posts 55,024 Reaction score 59,686 Oct 17, 2012 #22 hakuna makanisa karibu hapo?
W Wimana JF-Expert Member Joined Jun 28, 2012 Posts 2,449 Reaction score 718 Oct 17, 2012 #23 mtendaji wa kijiji said: Karibu vita ya kidini Tanzania! Haya ndio matunda aliyo panda Jk na sirlal yak Click to expand... Hapo hakuna vita ya kidini, ni vita kati ya wahuni, wavunja sheria dhidi ya Polisi. Hapo kwenye tukio sio Msikitini wa Kanisani.
mtendaji wa kijiji said: Karibu vita ya kidini Tanzania! Haya ndio matunda aliyo panda Jk na sirlal yak Click to expand... Hapo hakuna vita ya kidini, ni vita kati ya wahuni, wavunja sheria dhidi ya Polisi. Hapo kwenye tukio sio Msikitini wa Kanisani.
H hippocratessocrates JF-Expert Member Joined Jul 1, 2012 Posts 3,598 Reaction score 1,545 Oct 17, 2012 #24 Hivi does it make any sense, kusema katika dini waumini hufundishwa mambo mema, halafu et mnawashangaa watu ambao hawana dini? Hao ambao hawana dini, wanatushangaa waumini wowote wa dini yeyote..esp. hii ya kuhusika na vurugu kila wakati.
Hivi does it make any sense, kusema katika dini waumini hufundishwa mambo mema, halafu et mnawashangaa watu ambao hawana dini? Hao ambao hawana dini, wanatushangaa waumini wowote wa dini yeyote..esp. hii ya kuhusika na vurugu kila wakati.
M Mkeshaji JF-Expert Member Joined Jan 7, 2011 Posts 4,258 Reaction score 1,418 Oct 17, 2012 Thread starter #25 Dingswayo said: Vurugu hizo zinahusiana na habari zilizowekwa hapa? https://www.jamiiforums.com/habari-...mjue-sheikh-ponda-issa-ponda-na-kundecha.html Click to expand... Nadhani kuna connection...
Dingswayo said: Vurugu hizo zinahusiana na habari zilizowekwa hapa? https://www.jamiiforums.com/habari-...mjue-sheikh-ponda-issa-ponda-na-kundecha.html Click to expand... Nadhani kuna connection...