mama D
JF-Expert Member
- Nov 22, 2010
- 19,774
- 35,242
na sasa watakua wameshatuma picha kwa mfadhili wao kuonyesha mafanikio walofikia na kuchukua pesa ya kuendeleza kazi!!
Mimi nasema serikali ifanye kazi lakini pia viongozi wetu wa kiislam waamke na wakemee na kushirikiana kuwafikisha wahusika wote na wahamsishaji kwenye vyombo vya kisheria wakafunzwe adabu