tabu kuishi
JF-Expert Member
- Apr 16, 2011
- 353
- 43
Bravo, bonge la uzi. Umeua zaidi na ule mfano wa Abunuasi. Ni kweli waislam wenye busara ndo wenye nguvu ya kurekebisha kuokoa hadhi ya uislam vinginevyo sisi Wafuasi wa Kristo hatuna uwezo wa kuwatenganisha zaidi tutaowajudge kuwa wote ni walewale wa kuogopwa.
LAKINI NI KAWAIDA YENU KUWACHOKOZA WAISILAMU HALAFU NA KUANZA KULIA LIA. MNAJAZWA CHUKI MAKANISANI KWENU MPAKA MNA WAHARIBU NA WATOTO WENU.
Tatizo lipo kwa hao wazazi wawili elitakiwa wamalize hili swala kwa kuwakimia na kuwapa adhabu watoto wote wawili eli iwe fundisho kwa watoto wengine piya tuwafundishe watoto wetu majumbani maana ya kuvumiliana na kuheshimiana kama ilivyokuwa miaka ya nyuma. Hao watu wengine wamepata nafasi ya kufanya hicho walichokifanya kwa kuwa hawa wazazi wawili walikosa busara ya kumaliza hili swala kwa kuwakanya watoto wao wawe na heshima mbele za watu na imani za wengine
udini udini udini whta is next...
JINSI ULIVYO ANZA TU MAKALA YAKO, NI USHAHIDI KUA WEWE NI WAKALA WA SHETANI. Unataka kupandikiza hisia kua kuna watu wamebakwa na kunajisiwa. Kwa taarifa yako that is ANTI-ISLAMIC. WE MUSLIMS NEVER DO SUCH THINGS. LAKINI NI KAWAIDA YENU KUWACHOKOZA WAISILAMU HALAFU NA KUANZA KULIA LIA. MNAJAZWA CHUKI MAKANISANI KWENU MPAKA MNA WAHARIBU NA WATOTO WENU.
Kwa hiyo we unaona ni sawa kuchoma makanisa,kuharibu mali kwa sababu ya kijana aliyekojolea msaafu? Kama ndivyo naomba ujibu kwa herufi kubwa kama ulivyoandika hapa.Je Mtoto/kijana au mwislamu ndani ya Tanzania hii akiichoma au kukojolea Biblia basi unaona ni sawa Wakristo wakibomoa misikiti na kuharibu mali za waislamu zitakazokuwepo misikitini kama magari n.k ?
" Werevu haununuliwi,kama ungekuwa unanaunuliwa wote tungekuwa nao"
Punguza jazba mkuu nchi ni ye2 soteKwasasa chakufanya makanisa tuweke walinzi na tukimuona mtu ambaye haeleweki anakuja tena na mawe nikumfyatua kiuno tuuu, makanisa yalindwe kwa silaha tena kali!
Na huyu kaenda shule kidogo anafikiria hivyo, mihadhara mingapi inayosika ikikashifu dini ya kikiristo tena hadharani?
hiyo quote yako ya mwisho ndio tatizo lilipo kwenye dini ya uislam from the start,imejengwa kwenye kulipiza visasi na violence,..ISLAM IS A RELIGION OF PEACE. BUT IT DEFENDS ITSELF WHEN IT IS ATTACKED. WE MUSLIMS, NEVER TURN THE OTHER CHICK. BE WARNED.