Kuna ukweli uso pingika kuwa vurugu za leo kati ya o na polisi hapa jijini zimetokana na hao vijana kupewa pesa na ccm- mafisadi ili wampokee Mangura kwa msafara mkubwa wa pikipiki, lakini wakala pesa na kuishia. Na ccm mafisadi mwanza wamewaambia polis-ccm waanze kuwakamata kwa visingizio vya makosa ya traffic. Kwa kweli mwisho wa hawa mafisadi iwe 2015.