Vurugu mlimani zinaendelea | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Vurugu mlimani zinaendelea

Discussion in 'Uchaguzi Tanzania' started by Seif al Islam, Nov 15, 2011.

 1. S

  Seif al Islam JF-Expert Member

  #1
  Nov 15, 2011
  Joined: Nov 14, 2011
  Messages: 2,158
  Likes Received: 141
  Trophy Points: 160
  Hali ya usalama ndani ya chuo kikuu cha dar es salaam imeendelea kuwa ya wasiwasi baada ya kikundi cha watu wanaojiita wanaharakati kuendelea kuhamasisha wanafunzi kushiriki mgomo wa kushinikiza wenzao waachiwe huru.hata sasa nasikia sauti kwa mbali zikiashiria kuwepo kwa kinachodaiwa kuwa operesheni maalumu ya kuwatoa madarasani wote wanaokiuka wito wa wanaharakati waw kutaka kushinikiza mgomo
   
Loading...