Vurugu Mechi ya Senegal na Ivory Coast

Vurugu Mechi ya Senegal na Ivory Coast

Bujibuji Simba Nyamaume

Platinum Member
Joined
Feb 4, 2009
Posts
79,007
Reaction score
168,589
article-0-157E3BD6000005DC-61_468x304.jpg




article-1350220378558-157F03D5000005DC-965906_466x310.jpg




154077369.jpeg
 
Hawa ndio wameshapotea kwenye soka enzi za akina Alhaji Djoffu ndio kwishney..
 
Mmmmh hao mpira hawauwezi na hata match ikirudiwa bado watapigwa kama kawaida

Sent from my BlackBerry 9860 using JamiiForums
 
sasa kwanini wasiende kulinda mashamba ya mpunga ili wawapopoe ndege kuliko kutaka mazuri wakati timu yao mbovu pambaf.
 
Jamaa anajua sana kusaidia..

Kwa taarifa nilizo pata kutoka chanzo cha kuaminika ni kwamba huyo jamaa ni mume wake tatizo alikuwa amebaniwa kwa muda mrefu kuya gusa. So alipopata chance akafanya kweli.
(He! Ni utani jamani) Lakini naona ni msaada stahiki. Tehtehteh.
 
Hahah...badala ya kuchangia vurugu yamehamia huku kwenye picha moja!!!
 
Back
Top Bottom