Imewahi kuripotiwa hapa JF... Ndugu JF ni source nyingine ya habari kama husomi gazeti au husikilizi habari basi unaweza kupata updates JF.Siyo siri umeniboa uliposema vurugu nikadhani kweli kuna vurugu imetokea sehemu fulani kumbe ishu ya nondo ! Kuhusu askari kupigwa nondo na kufa mbona ilisha ripotiwa au umesikia leo ?
nunueni helmenti za pikipiki ikifika jioni mnazivaa,poleni sana ndugu zangu.
Imewahi kuripotiwa hapa JF... Ndugu JF ni source nyingine ya habari kama husomi gazeti au husikilizi habari basi unaweza kupata updates JF.
WW boreka tu ni jinsi ulivyo mgumu wa kuishi na watu
duh vipi jamaa wenye vipara bado hawajaanza kushughulikiwa?
ndugu hawa jamaa ni muhimu sana kibiashara.
Jmani huku mby ni balaa nw imeibuka kwamba ukikuta pesa kama elfu kumi ukiokota unageuka ng'ombe na wanakufunga na kukuchinja.
nadhani wakiamliza hili wanaanza tena viungo vya binadamuvipi wachuna ngozi huko hususan kule kwetu Vwawa na tunduma mpaka chanzamba.
nilipokuwa mby nilipitia kumcheki ccta mida ya jion,ilipofika saa mbili nikamuaga kuwa naenda nilikofikia akanambia hata kusingekuwepo chumba cha wageni ni afadhali nilale hata uvunguni kuliko kuniruhusu niondoke mida ile kuonesha msisitizo!
mkuu hili tukio halina uhusiano na uonevu wa polisi kwani hao wapiga nondo wenyewenadhani hawakujua kuwa ni polisi, siku lilipotokea hili tukio watu wengi waliumizwa, na zaidi ni imani za kishirikina kwani hawa jamaa huwa hawahitaji sana mali zaidi ya damuUonevu wa raia na polisi sasa basi! Uvumilivu umefika kikomo.
watamrushia walk man na headphones asikilize mziki!haaa haaaakudaaaadeki, kama shemeji ndo linataka vitu!?