Vurugu kubwa kituo cha mabasi Tegeta Nyuki, Dar

Vurugu kubwa kituo cha mabasi Tegeta Nyuki, Dar

Askari naomba mje haraka hapa kituo cha daladala Tegeta nyuki kuna vurugu.

Ujue umepata nafasi ya bahati kuleta habari kupitia jukwaa la kijanja JF sasa hii tabia ya kuleta habari roho robo tena habari yenyewe haieleweki inakufanya uonekane ni wa kukurupuka Kama Futuhi wa star TV
 
Vijana wa lumumba hawa wengi wamepoteza ajira baada ya uchaguzi kuisha hivyo wamechanganyikiwa sana.
 
Katoe taarifa polisi wazo hill, si jirani tu hapo?
 
Haya tujulishe mpaka kufikia hivi sasa,

vurugu zimeshakwisha?
 
Hicho kituo wamejaa wavuta bange na vibaka, mwaka jana niliibiwa laki tano hapo kituoni.

Nyambafu wezi wakubwa.
 
Back
Top Bottom