Vurugu Kinondoni, Dar: Mabomu yatumika kutuliza ghasia

Status
Not open for further replies.
Labda huko kwenu lakini huku Arusha watu wameshafanya maamuzi kuhusu Lowasa,subiri aje halafu utaona hali itakavyokuwa,Slaa alikua ana wafuasi wengi wanaomuamini na jana amehama na watu wake

haa haa amehama nao amekwenda nao wapi?
 
Labda huko kwenu lakini huku Arusha watu wameshafanya maamuzi kuhusu Lowasa,subiri aje halafu utaona hali itakavyokuwa,Slaa alikua ana wafuasi wengi wanaomuamini na jana amehama na watu wake

Tupe idadi tufanye mahesabu!
 
Labda huko kwenu lakini huku Arusha watu wameshafanya maamuzi kuhusu Lowasa,subiri aje halafu utaona hali itakavyokuwa,Slaa alikua ana wafuasi wengi wanaomuamini na jana amehama na watu wake

ARUSHA IPIIII??? acha kudanganya watu...
 
Tangu lini polisi wakayaangalia maandamano ya cdm?tangu ln wapokelewe na rais ikulu? Usanii
 
Kama ni kweli, tutapigwa kila kona mpaka bao la mkono likija tusilione. Dr. Uliamua kweli kuusaliti upinzani kiasi hiki?? Unasema umestaafu siasa kumbe umekaa mahali ukiangalia na kuchekelea upinzani unavyo yumba kwa sababu ya maneno yako?? Kumbuka, kilio cha WAPUMBAVU na MALOFA ambao ndo wengi kitamfikia Muumba wao. Laana hii, itazidi ile ya kuukana Upadri wako. Kumbe mtu akiharibika hakika haiwezekani kumrejesha tena.
 
Hao ni wahuni tu wamepeleka kadi mbili CHADEMA makao makuu!!

Kadi zikapokelewa, wakaambiwa haya sasa nendeni tumepokea kadi zetu, wakasema hatuondoki tunamtaka Dr.W.Slaa; wakajibiwa nendeni nyumbani kwake hapa si kwake na sasa si mwanachama. Wakaleta fujo.

Reb Grigate ikachapa mateja hao na kuweka lock up wananne...

Safi sana kama wamewachapa. Ndio wajue kuwa Red Brigade sio ya mchezo kama hao nguru mbili waliokuwa wanawatazama tuu njiani.
ImageUploadedByJamiiForums1441202302.103517.jpg
Kuna mateja wanaweza kusogea hapo?
 
Last edited by a moderator:
propaganda za kizamani sana hizi, Sijawahi kutegemea chama kikongwe kama CCM kikafikia cheap propaganda kama hizi.Kweli mwaka huu wameishiwa.
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom