Hapa ndipo ninapozishangaa akili za Mbowe.
Ivi yeye anafikiri Slaa hajaondoka na watu wake tena ma alfu kwa ma alfu.
Mbona anaamini Lowasa kamletea watu milioni.
Sijui akili za wapi hzi.?
Hao sio chadema ni vibaraka wa CCM Slaa kapanda ndege kaingia mitini. Jamani Lowassa atawaua CCM kwa presha wamemshindwa jukwaani wanataka kutuletea vurugu tu, CCM janga la taifa
slaa ni mweupe kama karatasi hawezi zuia mabadiliko hata kwa njia ganiSiasa zenu zisiharibu Nchi yetu
Nadhani ni zile taarifa kuwa CCM wameandaa vijana watavishwa sarre za chadema waandamane kumuunga mkono slaa. Vipi polisi wameingilia kati?
Lowasa rais slaa diwani
walichezea kichapo kutoka kwa malofa! sijuwi kwanini wamewapa nafasi ya kupumuwa!hiyo picha wapo polisi au wapi??
vijana wenyewe wawili ndo waliandamana au?
walichezea kichapo toka wapi?