Vurugu kampeni za udiwani Kahama

Vurugu kampeni za udiwani Kahama

Huu uhuni umeasisiwa na chama fulani, haukuwa utamaduni wetu hapo kabla kukatana mapanga hivi.

Ha ha ha ha ha ha! Mkuu naona hili limekuingia sana. Pole bhana ndo mambo ya siasa hayo
 
Wafuasi wa CCM Kata ya Ubagwe, Kahama washambuliwa kwa mapanga na watu wasiofahamika baada ya kampeni leo jioni,idadi ya majeruhi haijafahamika.source mwananchi TAARIFA za hivi punde ni kuwa Idadi ya wana CCM waliojeruhiwa katika mkasa huo hadi sasa ni watano akiwepo diwani wa Kata ya Ubagwe, idadi majeruhi yaweza kuongezeka.

hii habari mbona imekaa kikuda kuda?????
 
Back
Top Bottom