Kibo10
JF-Expert Member
- Aug 20, 2013
- 11,278
- 8,868
Wafuasi wa CCM Kata ya Ubagwe, Kahama washambuliwa kwa mapanga na watu wasiofahamika baada ya kampeni leo jioni,idadi ya majeruhi haijafahamika.source mwananchi TAARIFA za hivi punde ni kuwa Idadi ya wana CCM waliojeruhiwa katika mkasa huo hadi sasa ni watano akiwepo diwani wa Kata ya Ubagwe, idadi majeruhi yaweza kuongezeka.