Vurugu iringa mjini

Vurugu iringa mjini

tomboya

Member
Joined
Jan 23, 2015
Posts
54
Reaction score
8
Mwana jamii,mwenye habari kamili atujuze,maeneo ya hapo ipogolo,aliyenipa taarifa cm inawezekana imezima charge.kabla ya kumalizia akapotea hewani
 
Ilitokea ajali na kijana mmoja kugongwa na gari na kufariki.Wananchi wakaleta ghasia hadi FFU kupelekwa eneo hilo karibu na Stendi ya mabasi Ipogolo.
Mabomu ya machozi yamepigwa na dozens kusombwa na magari ya polisi.Ni usumbufu wa hali ya juu.
 
Kama kawaida, Polisi vs Raia. Sijui vita itaisha lini
 
ilitokea ajali na kijana mmoja kugongwa na gari na kufariki.wananchi wakaleta ghasia hadi ffu kupelekwa eneo hilo karibu na stendi ya mabasi ipogolo.
Mabomu ya machozi yamepigwa na dozens kusombwa na magari ya polisi.ni usumbufu wa hali ya juu.
mungu na wanadamu poleni sana jamani,jana ilikuwa ubungo
 
Mkuu leo nina wasiwasi ntalala na baridi kwa sababu hadi shemeji/wifi yenu wamemsomba hawa FFU.Yaani ilikuwa ni zoazoa.Watu wapo kwenye ofisi zao wametolewa kwa fujo hadi kituo kikuu cha polisi.
 
Back
Top Bottom