Vunjo: CHADEMA yaibwaga CCM

Vunjo: CHADEMA yaibwaga CCM

yegella

JF-Expert Member
Joined
Nov 18, 2010
Posts
3,113
Reaction score
1,104
Chadema imeigalagaza tena ccm safari hii ni kijiji cha vunjo chini jimbo la vunjo...

peoplezzz
 
Mkuu hebu jazia jazia nyama uchaguzi unahusu nini na angalau ushindi umekaaje kaaje.
 
Chadema imeigalagaza tena ccm safari hii ni kijiji cha vunjo chini jimbo la vunjo...

peoplezzz

Jamani! Mtaacha MAGAMBA wafe kwa kiwewe. Si NEPI yupo huko imekuwa je tena? Yaani pamoja na kusema chama cha magaidi, bado kagaragazwa??
 
Jamani! Mtaacha MAGAMBA wafe kwa kiwewe. Si NEPI yupo huko imekuwa je tena? Yaani pamoja na kusema chama cha magaidi, bado kagaragazwa??
attachment.php

Mtoto wa Steven Wassira, Makongoro Wassira akichukua kadi ya CDM tawi la Houston
Haaah, haaaa, CDM kufa kabla ya 2013
 
Mkuu hebu jazia jazia nyama uchaguzi unahusu nini na angalau ushindi umekaaje kaaje.

CHADEMA imeshinda kwa kishindo uchaguzi wa serikali ya kijiji cha Kilema Chini jimbo la Vunjo mkoani kilimanjaro.

Usemi wa Mjinga akijitambua Mwerevu upo matatani umeendelea kushika kasi ya ajabu.

peopleeeeezzz!!!!!

More Updates:
katika uchaguzi huo chadema ilishinda kwa kura 120, ccm kura 63 na tlp iliambulia kura 50

Pata habari
 
Mwacheni Mungu na aitwe Mungu.Wao na Ibilisi Chadema na Mungu wao.
 
TLP na CCM hawana ndoa yoyote? wangeungana hapa angalau wangekaribia kidogo. Nahisi wameisha sense kitu ndo maana wanajadiri muhungano wa vyama.
 
Mungu ni Mwema,pamoja na chokochoko zao bado hawaeleweki kwa wananchi.
 
Hayo ndio matalajio yetu kila KIJIJI tushinde na hiyo ndio furaha ya kweli, tunasubiri sumbawanga na igunga mbona wachelewesha jamani hebu mwene update anijuze :A S-heart-2::A S-heart-2:
 
Hata jogoo limeshaliwa na kunywewa supu siku nyingi....hongereni wananchi wa kilema kwa kujitambua na kuyakataa masisiem yanayotutesa kwenye taifa hili.
 
Jamani! Mtaacha MAGAMBA
wafe kwa kiwewe. Si NEPI yupo huko imekuwa je tena? Yaani pamoja na
kusema chama cha magaidi, bado kagaragazwa??

NEPI alikwenda kuangalia mazingira ya boda la horiri, ili 2015 ajue anakimbia vipi hii nchi. Si unajua hata wale 'ndugu' zake wanausongo nae kwa kutumia jina la baba yao ilhali Nepi ni mtoto haramu...
 
Mkuu!

Hapa umeua kabisa. Maana umepiga za kichwa kama Kitimoto vile!!!!
 
Inasikitisha kuona ccm wameambulia kura, hata kama ni chache.
 
Hongera cdm 2014 natabili selikali za mitaa cdm 79,na ccm 11hao wengine zilobaki wagawane na ziloharibika huko huko.mungu ibariki CHADEMA na viongozi wake pia na watu wake
 
Back
Top Bottom