Jezi za mwaka huu hizi za M-bet mimi siwezi vaa ni jezi mbovu sana hazina mvutoHuyu jamaa nadhan akimaliza mkataba asiongezewe tafadhali sana
Nadhan Simba waingie mkataba na mtu tofaut halaf huyo mtu aingie ubia na fred awe anauzia jezi kwenyw maduka yake
Always ana dissapoit
Low quality jesy(jamaa anatoa jezi kama nguo zake hata aibu haoni) jezi ya mwaka huu nimeshindwa kuivaa nimetunza ndani kitambaa chepesi low quality yaan huwa naona hata zile anazotengenezea Singida ni bora kuliko zetu
Anazindua jezi hana
Iv kwan huyu jamaa anakurupushwaga? Simba imefuzu makundi tangu Nov inamaama jamaa hakujua Feb atatakiwa kuwa na jezi? Very poor! Kila siku we unazindua jezi na huna jezi angalau ingetokea mara moja tu but always hana jezi na hapo tar 15 zitakuja pc 2000 tu kama last time atauzia duka moja tu la sinza anaona raha sana watu wakijazana pale anachukua video kupost aonekane ana base kubwa ya wateja( chukua video siku za kawaida ambazo huna jesy au sale tuone hiyo nyomi)
Designer hana anakurupuka tu na marangi rangi yasiyoeleweka aisee am tied of him
Na bado kuna wapuuzi wanacoment jesy kali iv ukiwa shabik ndo unapaswa uwe mpumbavu? Hupaswi hata kutumia akili yako hata kdg? Na kwenye uzi huu utayaona mambumbumbu yanacoment jesy kali [emoji23][emoji23] jesy kali ya ma*ko au?
Jifunze kutumia akili shabik wa simba mwwnzangu acha ujinga
T-shirt ya buku ten lazima iwe hivyo!Mimi kifupi hata nguo kwenye maduka yake sitaki hata kuzisikia,niliwahi kununua Tshirt moja,kwa muonekano niliiona kali sana for only 10,000,baada ya kuifua tu mara moja ikapauka vibaya na kulegea....
Itawekwa usiwe na haraka nafasi ipo kwa nyumaAmeshatoa sababu za kutoweka logo ya Mo? Huyu jamaa yangu atakula hasara kwa sababu ya kukurupuka.
Sio lazima,ninazo nyingi tu tena ni za China na mpya kabisa na hazina hiyo shida...T-shirt ya buku ten lazima iwe hivyo!
Mbona misimu ya nyuma jezi za makundi haikuwa na logo za Mo? Au mimi ndio sina kumbukumbuAmeshatoa sababu za kutoweka logo ya Mo? Huyu jamaa yangu atakula hasara kwa sababu ya kukurupuka.
Mbona misimu ya nyuma jezi za makundi haikuwa na logo za Mo? Au mimi ndio sina kumbukumbu