kwi kwi kwi kwi kwi kwi yani saizi kuna wengine wanaoa wa kuwapikia futari,wengine ndio wanawapelekea vidumu vyao wakapige cha mwisho mwisho kwi kwi kwi kwi ila najiuliza kwanini sasa ikifika jioni wadada mnawaibia futari vidumu vyenu kwenye kanga mnawapelekea kwenye mageto yao