matumbo JF-Expert Member Joined Jul 9, 2011 Posts 7,224 Reaction score 3,960 Jul 20, 2012 #1 Mwezi bado haujaandama kwa mujibu wa Mufti,mfungo unaanza kesho...so leo tunamalizia kuvunja jungu wadau...tupeane ayo maujanja wakuu tunavunja jungu wapi na kwa staili gani.
Mwezi bado haujaandama kwa mujibu wa Mufti,mfungo unaanza kesho...so leo tunamalizia kuvunja jungu wadau...tupeane ayo maujanja wakuu tunavunja jungu wapi na kwa staili gani.