Vunja Bei wameanza utapeli

hawa jamaa wa vunjabei wako real sana na biashara yao nadhani wewe ulikuwa ndio hutaki kueleweshwa ila kila bei wanayotangaza instagram kwao ndio hiyo hiyo wanayouza dukani kwao ndio maana hadi leo wanazidi kufanikiwa maana wanakaribia kuwa na maduka karibia majiji yote tanzania hii hivyo nadhani sikuiyo ungekuwa mwelewa ungeeleweshwa hata kwa kuonyesha bei halisi ya bidhaa zao kupitia page yao ya instagram maana mimi huwa natumia sana page yao na bei zote huwa ni hivyo hivyo katika maduka yao yote hivyo vunjabei wako vizuri kuliko unavyowajua wewe
 
Siku nenda Woolworths hutojuta mkuu 😊. Utapata customer care nzuri toka kwa totoz pia utapata vitu very quality.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…