mwandende JF-Expert Member Joined Feb 16, 2017 Posts 11,445 Reaction score 21,640 May 16, 2023 #61 Kaselele said: Mkuu wachawi huaga wanaanza kama hivi. Asa mwenzako akikosa mkataba wewe unafaidika na nini. Au uliwai kuingia kiwanjani bila ya jez ya Simba. Click to expand... Ukweli lazima usemwe,, Jezi za Simba hazina ubora..
Kaselele said: Mkuu wachawi huaga wanaanza kama hivi. Asa mwenzako akikosa mkataba wewe unafaidika na nini. Au uliwai kuingia kiwanjani bila ya jez ya Simba. Click to expand... Ukweli lazima usemwe,, Jezi za Simba hazina ubora..
Kipenzi Changu Platinum Member Joined Aug 24, 2011 Posts 59,180 Reaction score 138,467 Jun 16, 2023 Thread starter #62 Asante sana Simba kwa kuchukua huu ushauri wetu