political monger senior
JF-Expert Member
- Nov 26, 2020
- 1,950
- 6,390
Vunja bei ni geresha tu tender ya kusambaza jezi MO ndio ameichukua. Tumlaumu MO na siyo vunja beiNimefanya tafiti yangu nimejiridhisha Fred Ngajiro na kampuni yake ya Vunja Bei hawana uwezo wa kutengeneza na kusambaza jezi za klabu kubwa kama Simba Sc
Vunja Bei amekuwa mtu wa kuunga-unga kama kawaida ya kampuni nyingi za wazawa. Bahati mbaya zaidi amejidhihirisha hivyo wakati wote wa muda wa mkataba wake
Viwango vya jezi havilingani na ukubwa w Simba Sc. Tuwe wa kweli. Sitaki Kujilinganisha na Yanga lakini ukweli ni kwamba ubora wa jezi za Simba zinaingia mara 3 kwa kwa ubora wa Yanga.
Usambazaji wa jezi umekuwa tatizo ambalo amekosa kabisa mkakati wa utatuzi. Wote tunakumbuka msimu ulipoanza na hata usambazaji wa jezi za Championship.
Sina uhakika kama kweli hata kaweza kulipa hiyo bilioni mbili ambayo ni dhamani ya mkataba.
Vunja Bei hana uwezo wa kufanya biashara na klabu kigogo kama Simba Sc. Kwa vile mkataba wake unaelekea kuisha, nashauri Bodi ifanye uwezekano wa kupata kampuni ya kimataifa.
Vunja Bei anatupa kazi ya kumtetea
Umeongea kitaalam sana. Big upVunja bei ni mhuni tuu , kampuni nyingi za wazawa ni Tia maji Tia maji , tatizo ni kukosa professionalism na uroho wa kutaka Kula faida yote bila kuongeza kiasi ili kuboresha kwenye uwekezaji , mtu anayeuza malonya ya nguo mnampaje kandarasi ya mhimu kama Ile aisee
Huu ni ukweli mweupe. Acheni kumtetea aaibike ndo ataacha kuchukua tenda.Nimefanya tafiti yangu nimejiridhisha Fred Ngajiro na kampuni yake ya Vunja Bei hawana uwezo wa kutengeneza na kusambaza jezi za klabu kubwa kama Simba Sc
Vunja Bei amekuwa mtu wa kuunga-unga kama kawaida ya kampuni nyingi za wazawa. Bahati mbaya zaidi amejidhihirisha hivyo wakati wote wa muda wa mkataba wake
Viwango vya jezi havilingani na ukubwa w Simba Sc. Tuwe wa kweli. Sitaki Kujilinganisha na Yanga lakini ukweli ni kwamba ubora wa jezi za Simba zinaingia mara 3 kwa kwa ubora wa Yanga.
Usambazaji wa jezi umekuwa tatizo ambalo amekosa kabisa mkakati wa utatuzi. Wote tunakumbuka msimu ulipoanza na hata usambazaji wa jezi za Championship.
Sina uhakika kama kweli hata kaweza kulipa hiyo bilioni mbili ambayo ni dhamani ya mkataba.
Vunja Bei hana uwezo wa kufanya biashara na klabu kigogo kama Simba Sc. Kwa vile mkataba wake unaelekea kuisha, nashauri Bodi ifanye uwezekano wa kupata kampuni ya kimataifa.
Vunja Bei anatupa kazi ya kumtetea
Kwani kuna tatizo gani ukiendelea kuishabikia Simba ukiwa umevaa nguo zako za nyumbani?Nimefanya tafiti yangu nimejiridhisha Fred Ngajiro na kampuni yake ya Vunja Bei hawana uwezo wa kutengeneza na kusambaza jezi za klabu kubwa kama Simba Sc
Vunja Bei amekuwa mtu wa kuunga-unga kama kawaida ya kampuni nyingi za wazawa. Bahati mbaya zaidi amejidhihirisha hivyo wakati wote wa muda wa mkataba wake
Viwango vya jezi havilingani na ukubwa w Simba Sc. Tuwe wa kweli. Sitaki Kujilinganisha na Yanga lakini ukweli ni kwamba ubora wa jezi za Simba zinaingia mara 3 kwa kwa ubora wa Yanga.
Usambazaji wa jezi umekuwa tatizo ambalo amekosa kabisa mkakati wa utatuzi. Wote tunakumbuka msimu ulipoanza na hata usambazaji wa jezi za Championship.
Sina uhakika kama kweli hata kaweza kulipa hiyo bilioni mbili ambayo ni dhamani ya mkataba.
Vunja Bei hana uwezo wa kufanya biashara na klabu kigogo kama Simba Sc. Kwa vile mkataba wake unaelekea kuisha, nashauri Bodi ifanye uwezekano wa kupata kampuni ya kimataifa.
Vunja Bei anatupa kazi ya kumtetea
Haya ndio maneno sasa.Vunjabei ni from ile jamii inauza mitumba hapo Kariakoo, angekuwa anatokea wale weusi wenzetu walio na hisa kubwa DSE na wamiliki wa LTD nyingi hapa bongo asingekuwa anafanya kazi kienyeji.
Mkataba mnono wenye uhakika wa faida anasumbua vile
Umewaza kama mimiUnaweza kuta vunja ndie Mo
Kwani kuna tatizo gani Simba ikitangaza tenda ikapatikana kampuni yenye ufanisiKwani kuna tatizo gani ukiendelea kuishabikia Simba ukiwa umevaa nguo zako za nyumbani?
Ili mradi wachezaji wamevaa jezi mimi naona haina shida.
Nimefanya tafiti yangu nimejiridhisha Fred Ngajiro na kampuni yake ya Vunja Bei hawana uwezo wa kutengeneza na kusambaza jezi za klabu kubwa kama Simba Sc
Vunja Bei amekuwa mtu wa kuunga-unga kama kawaida ya kampuni nyingi za wazawa. Bahati mbaya zaidi amejidhihirisha hivyo wakati wote wa muda wa mkataba wake
Viwango vya jezi havilingani na ukubwa w Simba Sc. Tuwe wa kweli. Sitaki Kujilinganisha na Yanga lakini ukweli ni kwamba ubora wa jezi za Simba zinaingia mara 3 kwa kwa ubora wa Yanga.
Usambazaji wa jezi umekuwa tatizo ambalo amekosa kabisa mkakati wa utatuzi. Wote tunakumbuka msimu ulipoanza na hata usambazaji wa jezi za Championship.
Sina uhakika kama kweli hata kaweza kulipa hiyo bilioni mbili ambayo ni dhamani ya mkataba.
Vunja Bei hana uwezo wa kufanya biashara na klabu kigogo kama Simba Sc. Kwa vile mkataba wake unaelekea kuisha, nashauri Bodi ifanye uwezekano wa kupata kampuni ya kimataifa.
Vunja Bei anatupa kazi ya kumtetea
Mkuu sasa tuna offer ya AdidasNimefanya tafiti yangu nimejiridhisha Fred Ngajiro na kampuni yake ya Vunja Bei hawana uwezo wa kutengeneza na kusambaza jezi za klabu kubwa kama Simba Sc
Vunja Bei amekuwa mtu wa kuunga-unga kama kawaida ya kampuni nyingi za wazawa. Bahati mbaya zaidi amejidhihirisha hivyo wakati wote wa muda wa mkataba wake
Viwango vya jezi havilingani na ukubwa w Simba Sc. Tuwe wa kweli. Sitaki Kujilinganisha na Yanga lakini ukweli ni kwamba ubora wa jezi za Simba zinaingia mara 3 kwa kwa ubora wa Yanga.
Usambazaji wa jezi umekuwa tatizo ambalo amekosa kabisa mkakati wa utatuzi. Wote tunakumbuka msimu ulipoanza na hata usambazaji wa jezi za Championship.
Sina uhakika kama kweli hata kaweza kulipa hiyo bilioni mbili ambayo ni dhamani ya mkataba.
Vunja Bei hana uwezo wa kufanya biashara na klabu kigogo kama Simba Sc. Kwa vile mkataba wake unaelekea kuisha, nashauri Bodi ifanye uwezekano wa kupata kampuni ya kimataifa.
Vunja Bei anatupa kazi ya kumtetea
Zipo timu za kujifunzia lakini sio Simba sc. Abaki Polisi Tz nk. Ajifunzie huko. Hata kwenye construction kuna miradi ya kukuza experience, huwezi kupewa Busisi Bridge from nowhere tuUlitaka aperform kama UHL SPORT AU ADIDAS kana kwamba mtaji unalingana? Muda mwingine tupende kuwatia moyo watu wa ndani wanaopambana kuwa mabilionea wakubwa zaidi , roho ya chuki haitakusaidia kijana
Sent from my TECNO KG5j using JamiiForums mobile app
Kuna ukweli hapa. Angalia namna vikaptula vinavyowashika wachezaji. Hata namna zilivyoshonwa ni kienyeji mno. Sijui haoni jezi na bukta za Azam au Namungo zinavyomwagika vizuri?Nimefanya tafiti yangu nimejiridhisha Fred Ngajiro na kampuni yake ya Vunja Bei hawana uwezo wa kutengeneza na kusambaza jezi za klabu kubwa kama Simba Sc
Vunja Bei amekuwa mtu wa kuunga-unga kama kawaida ya kampuni nyingi za wazawa. Bahati mbaya zaidi amejidhihirisha hivyo wakati wote wa muda wa mkataba wake
Viwango vya jezi havilingani na ukubwa w Simba Sc. Tuwe wa kweli. Sitaki Kujilinganisha na Yanga lakini ukweli ni kwamba ubora wa jezi za Simba zinaingia mara 3 kwa kwa ubora wa Yanga.
Usambazaji wa jezi umekuwa tatizo ambalo amekosa kabisa mkakati wa utatuzi. Wote tunakumbuka msimu ulipoanza na hata usambazaji wa jezi za Championship.
Sina uhakika kama kweli hata kaweza kulipa hiyo bilioni mbili ambayo ni dhamani ya mkataba.
Vunja Bei hana uwezo wa kufanya biashara na klabu kigogo kama Simba Sc. Kwa vile mkataba wake unaelekea kuisha, nashauri Bodi ifanye uwezekano wa kupata kampuni ya kimataifa.
Vunja Bei anatupa kazi ya kumtetea
Acha kutetea udhaifu bhana. Kama hawezi kwanini aombe tenda?Ulitaka aperform kama UHL SPORT AU ADIDAS kana kwamba mtaji unalingana? Muda mwingine tupende kuwatia moyo watu wa ndani wanaopambana kuwa mabilionea wakubwa zaidi , roho ya chuki haitakusaidia kijana
Sent from my TECNO KG5j using JamiiForums mobile app
Kusema kweli kuna watu wengi wanahitaji jezi za quality za Simba lakini sio rahisi kuziona.Nimefanya tafiti yangu nimejiridhisha Fred Ngajiro na kampuni yake ya Vunja Bei hawana uwezo wa kutengeneza na kusambaza jezi za klabu kubwa kama Simba Sc
Vunja Bei amekuwa mtu wa kuunga-unga kama kawaida ya kampuni nyingi za wazawa. Bahati mbaya zaidi amejidhihirisha hivyo wakati wote wa muda wa mkataba wake
Viwango vya jezi havilingani na ukubwa w Simba Sc. Tuwe wa kweli. Sitaki Kujilinganisha na Yanga lakini ukweli ni kwamba ubora wa jezi za Simba zinaingia mara 3 kwa kwa ubora wa Yanga.
Usambazaji wa jezi umekuwa tatizo ambalo amekosa kabisa mkakati wa utatuzi. Wote tunakumbuka msimu ulipoanza na hata usambazaji wa jezi za Championship.
Sina uhakika kama kweli hata kaweza kulipa hiyo bilioni mbili ambayo ni thamani ya mkataba.
Vunja Bei hana uwezo wa kufanya biashara na klabu kigogo kama Simba Sc. Kwa vile mkataba wake unaelekea kuisha, nashauri Bodi ifanye uwezekano wa kupata kampuni ya kimataifa.
Vunja Bei anatupa kazi ya kumtetea
WE UPO KUMBE!!1!Nimefanya tafiti yangu nimejiridhisha Fred Ngajiro na kampuni yake ya Vunja Bei hawana uwezo wa kutengeneza na kusambaza jezi za klabu kubwa kama Simba Sc
Vunja Bei amekuwa mtu wa kuunga-unga kama kawaida ya kampuni nyingi za wazawa. Bahati mbaya zaidi amejidhihirisha hivyo wakati wote wa muda wa mkataba wake
Viwango vya jezi havilingani na ukubwa w Simba Sc. Tuwe wa kweli. Sitaki Kujilinganisha na Yanga lakini ukweli ni kwamba ubora wa jezi za Simba zinaingia mara 3 kwa kwa ubora wa Yanga.
Usambazaji wa jezi umekuwa tatizo ambalo amekosa kabisa mkakati wa utatuzi. Wote tunakumbuka msimu ulipoanza na hata usambazaji wa jezi za Championship.
Sina uhakika kama kweli hata kaweza kulipa hiyo bilioni mbili ambayo ni thamani ya mkataba.
Vunja Bei hana uwezo wa kufanya biashara na klabu kigogo kama Simba Sc. Kwa vile mkataba wake unaelekea kuisha, nashauri Bodi ifanye uwezekano wa kupata kampuni ya kimataifa.
Vunja Bei anatupa kazi ya kumtetea
Nafikiri hana watalaamu wa supply chain and logistics, anaona kama kila mtu ni sagula-sagula. Imagine nilienda moja la duka lake kununua jezi zenye kola nikakuta hawana,lakini kila siku ana post anazoHuyo vunja Bei apumzishwe kwanza anatutesa mashabiki kuhangaika kugombania jezi kama vichaa