Kipenzi Changu
Platinum Member
- Aug 24, 2011
- 59,128
- 138,162
Asipopewa mkatabba utapata faida gani??Nimefanya tafiti yangu nimejiridhisha Fred Ngajiro na kampuni yake ya Vunja Bei hawana uwezo wa kutengeneza na kusambaza jezi za klabu kubwa kama Simba Sc
Vunja Bei anatupa kazi ya kumtetea
Mkuu wachawi huaga wanaanza kama hivi.Nimefanya tafiti yangu nimejiridhisha Fred Ngajiro na kampuni yake ya Vunja Bei hawana uwezo wa kutengeneza na kusambaza jezi za klabu kubwa kama Simba Sc
Vunja Bei amekuwa mtu wa kuunga-unga kama kawaida ya kampuni nyingi za wazawa. Bahati mbaya zaidi amejidhihirisha hivyo wakati wote wa muda wa mkataba wake
Viwango vya jezi havilingani na ukubwa w Simba Sc. Tuwe wa kweli. Sitaki Kujilinganisha na Yanga lakini ukweli ni kwamba ubora wa jezi za Simba zinaingia mara 3 kwa kwa ubora wa Yanga.
Usambazaji wa jezi umekuwa tatizo ambalo amekosa kabisa mkakati wa utatuzi. Wote tunakumbuka msimu ulipoanza na hata usambazaji wa jezi za Championship.
Sina uhakika kama kweli hata kaweza kulipa hiyo bilioni mbili ambayo ni dhamani ya mkataba.
Vunja Bei hana uwezo wa kufanya biashara na klabu kigogo kama Simba Sc. Kwa vile mkataba wake unaelekea kuisha, nashauri Bodi ifanye uwezekano wa kupata kampuni ya kimataifa.
Vunja Bei anatupa kazi ya kumtetea
Vunja Bei ni mshika pembe tu. Hilo dili ni la MO.Unaweza kuta vunja ndie Mo
Umeongea ukweliNimefanya tafiti yangu nimejiridhisha Fred Ngajiro na kampuni yake ya Vunja Bei hawana uwezo wa kutengeneza na kusambaza jezi za klabu kubwa kama Simba Sc
Vunja Bei amekuwa mtu wa kuunga-unga kama kawaida ya kampuni nyingi za wazawa. Bahati mbaya zaidi amejidhihirisha hivyo wakati wote wa muda wa mkataba wake
Viwango vya jezi havilingani na ukubwa w Simba Sc. Tuwe wa kweli. Sitaki Kujilinganisha na Yanga lakini ukweli ni kwamba ubora wa jezi za Simba zinaingia mara 3 kwa kwa ubora wa Yanga.
Usambazaji wa jezi umekuwa tatizo ambalo amekosa kabisa mkakati wa utatuzi. Wote tunakumbuka msimu ulipoanza na hata usambazaji wa jezi za Championship.
Sina uhakika kama kweli hata kaweza kulipa hiyo bilioni mbili ambayo ni dhamani ya mkataba.
Vunja Bei hana uwezo wa kufanya biashara na klabu kigogo kama Simba Sc. Kwa vile mkataba wake unaelekea kuisha, nashauri Bodi ifanye uwezekano wa kupata kampuni ya kimataifa.
Vunja Bei anatupa kazi ya kumtetea
Sina directly personal interest na mkataba wa yeyote.Asipopewa mkatabba utapata faida gani??
Sina chuki naye BTW ni mshikaji tuyefahamiana. Ila hapa tunazungumzia utendaji. Nafikiri ungemtetea kwenye ufanisiMkuu, una chuki naye binafsi?
Wewe ni wale wale tu. Lete hoja kulingana na hoja zangu. Tunapozungumzia ufanisi tunawekq interest zetu pembeni. Rudi kwenye hoja zanguMkuu wachawi huaga wanaanza kama hivi.
Asa mwenzako akikosa mkataba wewe unafaidika na nini.
Au uliwai kuingia kiwanjani bila ya jez ya Simba.
Watanzania kwenye hizi timu za simba na yanga ukiongea ukweli unaonekana mamlukiWewe ni wale wale tu. Lete hoja kulingana na hoja zangu. Tunapozungumzia ufanisi tunaweza interest zetu pembeni. Rudi kwenye hoja zangu
Huo ndio ukweli mchungu. Watu wanasema nina chuki naye lakini wanasahau kuzungumzia sababu nilizotoaHapa uneongea "kitakwimu" jezi za Yanga zinatembea sana na
"kitafiti" jezi za Quality mbovu isiyoendana na hadhi ya klabu
Vilevile "kihasibu" jezi za Yanga zinaobgoza kwa mauzo kuliko za Simba .
Na umehitimisha "kitaalamu" kuwa Vunja Bei asipewe mkataba mpya...