Mkuu, siyo ku-kopi (copy), ni occupy, yaani miliki au chukua, hili ni vuguvugu ambalo li
meanza kuenea sasa dunia yote ya nchi tajiri sana na zilizoendelea kiviwanda. Ni kwamba wananchi wanaandamana kupinga sera za kifedha (kiuchumi, zinazopendelea mabenki) za nchi zao na kutowajali wananchi wa kawaida ambao wanaathirika kiuchumi kutokana na sera hizo. Lengo la waandamanaji ni kuzitaka serikali zao ku-review sera hizo ili ziwe fair kwa pande zote, wananchi na mabenki. Vuguvugu hilo limepewa jina la Occupy...... halafu unataja jina la mji mnakoandamana. Mfano Occupy Tokyo.
...Na Karly Max na Vladimir Lenin wanapokuwa Manabii Wakuu au miungu kabisa, Lol!!...
Kwahabari ya imani yangu yawezekana kabisaaa. Kama walikuwa wamejazwa roho mtakatifu wanaweza kuwa walikuwa miungu na maandiko yetu yanakubaliana na haya! Kwa uthibitisho soma zaburi 82:6 inasema "I have said ye are gods; and all of you are children of the most High". Yesu analitumia hili hili andiko kuthibitisha haya kuwa mwanadamu mwenye roho ya Mungu aweza kuwa Mungu kwa ref. soma Yohana 10:34....Sasa kama hao katika concept zao walikuwa na roho wa Mungu akawapa reveletion yes they were gods for they created something out of words!
...Uwa nakupenda sana Ame, u seems to be ndugu yangu...
...Lets say hawakuvimeet hivyo vigezo vya kuwa miungu kama ulivyovitaja hapo juu, je hawataqualify hawa basi kuwa Manabii Wakuu kama Nyerere umempa Unabii kutokana na kile kinachoendelea Wall Street?
Sifa na utukufu ni kwa Mungu juu mbinguni aliyekuumba kwa sura na mfano wake ambaye pia akaniumba mimi kwa sura na mfano huo huo; truly you are my beloved ndugu!
Kuhusu Nyerere kuwa nabii; soma thread zangu kupitia Magobe....Nyerere ni nabii/profesor kwa maana yakuwa aliyoya predict kuwa yatatokea iwapo humanities hawatakubali kuishi socially (Ku-share natural resources) na in self reliance (kufanya kazi nakupata ujira sahihi kwa kazi aliyoifanya i.e no monopoly = kujitegemea) lazima kutatokea social unrest inayotokana na human nature ya kuwa equal beings katika mahitaji yao muhimu.....Hii ndiyo phylosophy ya mzee wetu mtukukuka...Hao wengine naomba unisaidie sasa tuwaite miungu ama manabii?
Nime enjoy discussion yako na mimi maana hata mimi nimejifunza kitu toka kwako; kuwa humble! Be blessed!
Tanze na MIGODI,Hivi bongo hakuna corporations?Ama zenyewe si greedy?
Mkuu
Vyombo vya fedha na mabenki yapo Tanzania. Tena yanawakomoa wateja. Unauliza uroho wa corporations wakati huo ndio mfumo kwao?
Hili la uroho wa fedha haliko kwa mabenki tu. Tz tunaadhibiwa na tunaathiriwa na "ufisadi" pia. Kigenge cha wezi wanaojichukulia fedha za umma huwa wanaonekana ndio wajanja na wameula kimaisha.
Ukiweka fedha zako chache benki, siku umekumbuka kuwa uliweka 50,000 elfu zako ,ukienda kutaka kuzichukua unaambiwa;
"doooh, ulikuwa wapi? Tunakutafuta siku nyingi, una deni la 20,000 kama ada ya akaunti"
Yaani 50,000 elfu yako imekwenda na maji na deni juu! Unapandwa na hasira lakini unapokumbuka kuwa TZ ni kisiwa cha "amani na utulivu", unageuka kuelekea mlangoni na kwenda kulalamika nyumbani.
Sera za IMF na World bank zilipoletwa miaka ile, wanasiasa, viongozi wetu walituambia tukaze mikanda na tuchangie huduma za jamii.
Wao wanajiengezea kima cha mishahara na masurufu, marupurupu.
Kasumba ya tukaze mikanda na utamaduni wa kutoa na kupokea rushwa umetufanya tuone kila kitu ni sawa tu.
watanzania tumeacha kujifikiria kama jamii, tunachofanya ni kila mtu kuchumia tumbo lake hata kama ni kuwaumiza watanzania wenzake.
Hata wale walio waelewa wa mambo badala ya kuuamsha umma na kuchukua hatua , ili kushibisha" tumbo" wanakimbilia kwenye "kula" aka siasa.
Mkuu mbona inawezekana ku-kopi hicho kinachoitwa ku-okupai!!Mkuu, siyo ku-kopi (copy), ni occupy, yaani miliki au chukua, hili ni vuguvugu ambalo limeanza kuenea sasa dunia yote ya nchi tajiri sana na zilizoendelea kiviwanda. Ni kwamba wananchi wanaandamana kupinga sera za kifedha (kiuchumi, zinazopendelea mabenki) za nchi zao na kutowajali wananchi wa kawaida ambao wanaathirika kiuchumi kutokana na sera hizo. Lengo la waandamanaji ni kuzitaka serikali zao ku-review sera hizo ili ziwe fair kwa pande zote, wananchi na mabenki. Vuguvugu hilo limepewa jina la Occupy...... halafu unataja jina la mji mnakoandamana. Mfano Occupy Tokyo.
Neno democracy limetokana na maneno ya Kigiriki Demos=people and Kratos=power.Sio Demon na Crasia.Neno democracy limetokana na maneno mawili.Yaani Demon na crasia.Maana ya demon unaijua na crasia ni neno la kilatini lenye maana ya authority.Kwa hiyo democrasia au democracy maana yake ni utawala wa mapepo.Sijui kama unaona jinsi tulivyoingizwa mkenge.Sasa katika utawala wa mapepo unategemea nini.Obviously kilio na kusaga meno.Na bado,matumbo yatauma kwa dhiki zilizopo mbele yetu.
Aksante sana...
....Japo siungi mkono kabisa idea ya kuwapa cheo cha "Unabii" wale wote tunaowakubali kwa uwezo na udhubutu wao wa kufikiri na kutenda kwa uadilifu...
...Karl Marx(1818–1883) , is without a doubt the most influential socialist thinker to emerge in the 19th century, his social, economic and political ideas gained rapid acceptance in the socialist movement after his death in 1883. Until quite recently almost half the population of the world lived under regimes that claim to be Marxist. This very success, however, has meant that the original ideas of Marx have often been modified and his meanings adapted to a great variety of political circumstances.
Marx believed that economic relationships were of primary importance, and the conflict between the classes was an inevitability, due to the chasm between the haves and have-nots. This is called the Social Conflict theory. Though a communist, Marx put a lot of stock in materialism. He believed that the major force in world affairs is production: the making and accumulation of stuff. Workers hired to produce the goods that make the world go round feel no great pride in their labors. This only leads to alienation, unrest, and ultimately, revolution.
In Marx's worldview, the majority of people toiled with little reward while the upper classes reaped the fruits of their labor. He saw an inherent inequality in capitalism. Marx believed that situation could not go on forever, and it would eventually reach critical mass and result in a revolution of the working classes against their capitalist masters.
Marx has been described as one of the most influential figures in human history, and in a 1999 BBC poll was voted the "thinker of the millennium" by people from around the world.
Karl Marx - Wikipedia, the free encyclopedia