Papaa Shikolokonyez Member Joined Nov 29, 2019 Posts 34 Reaction score 17 Oct 6, 2020 #1 Ujumbe Kwa wadada wote mnapozozana. Naomba muwe mnavua barakoa. Sisi wapitanjia tunazubaa kuwaangalia ila hatusikii mnachosema. Tunang'ang'ana Sana ππππππππ
Ujumbe Kwa wadada wote mnapozozana. Naomba muwe mnavua barakoa. Sisi wapitanjia tunazubaa kuwaangalia ila hatusikii mnachosema. Tunang'ang'ana Sana ππππππππ
K KISIWAGA JF-Expert Member Joined Oct 22, 2015 Posts 8,021 Reaction score 16,591 Oct 6, 2020 #2 Kuna madada hapo mtaani kwenu wanavaa barakoa bado
Papaa Shikolokonyez Member Joined Nov 29, 2019 Posts 34 Reaction score 17 Oct 6, 2020 Thread starter #3 KISIWAGA said: Kuna madada hapo mtaani kwenu wanavaa barakoa bado Click to expand... Yeah! Hapa kwetu Kenyaπ
KISIWAGA said: Kuna madada hapo mtaani kwenu wanavaa barakoa bado Click to expand... Yeah! Hapa kwetu Kenyaπ