VPN na Bandwith

Nimeongeza ujuzi

Asante sana
 
unajua VPN ni nn kwanza? unajua matumizi yake? kam ujui basi nikwambie haisaidii chochote kuongeza kasi ya mtandao. case closed
 
unajua VPN ni nn kwanza? unajua matumizi yake? kam ujui basi nikwambie haisaidii chochote kuongeza kasi ya mtandao. case closed

Mm nikujibu kwamba ukitumia vpn haitakusaidia ww speed yako kuwa kasi bali kazi kuu ya vpn nikukuruhusu kutumia app ambazo zimefungiwa eneo ulilopo kama unahitaji kwaajili ya mambo ya speed mm nafikiri hapo anza kutafuta njia mbadala na kujua band gani ni sahihi kwako
 
unajua VPN ni nn kwanza? unajua matumizi yake? kam ujui basi nikwambie haisaidii chochote kuongeza kasi ya mtandao. case closed
[emoji23] Labda wewe ndiyo hujui, do your research. Mimi nimetumia VPN jana tu kwa mtanadao wa TIGO 3G nilikuwa napata 400-500 KB/s kama download speed kupitia Telegram nilichofanya nikawasha TurboVPN download speed ikapanda mpaka 1.90+ MB/s nika-switch kwenda SecureVPN ikarudi kama mwanzo inacheza 400 hadi 500. Nika-switch tena kwenda TurboVPN na mtanadao ukapanda hadi 1 MB/s na points huko. Nilijikuta nafanya hivi maana kuna muda nilikuwa na-access Telegram bila VPN then inazingua ndiyo nikaligundua hili.

Sasa leo nimekuja JF nakutana na huu uzi ndiyo nikaunganisha dots na nilichokuwa nakifanya jana na bado nitafuatilia zaidi kuujua ukweli maana huu uzi umenipa mwanga huenda inawezekana VPN kupandisha bandwidth ila bado nahitaji more evidence.

Mimi VPN nimeanza kutumia muda sana kipindi hicho DroidVPN wanatoa Data ya bure ukiunganisha na Vodacom. VPN siyo kitu kigeni kuwa nimekijua mwaka huu ila kuna vitu vipya nimeanza kuvijua mwaka huu and I'm interested kujua zaidi.
 
Ahsante mkuu kwa feedback
Mimi nikiwaza kuanziasha uzi huu baada ya kukumbuka zamani tulikuwa tukitumia proxyserver kutumia data buree
 
😂 😂 😂 sawa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…