brave Mwafrika JF-Expert Member Joined May 2, 2019 Posts 248 Reaction score 143 Sep 5, 2025 #1 Habari za jioni, naomba kujua nitumie VPN gani ili niweze kutumia network for free?? Mimi natumia laini ya Halotel pamoja yas
Habari za jioni, naomba kujua nitumie VPN gani ili niweze kutumia network for free?? Mimi natumia laini ya Halotel pamoja yas
adriz JF-Expert Member Joined Sep 2, 2017 Posts 15,568 Reaction score 33,954 Sep 6, 2025 #2 Wakikupa nitag
issac77 JF-Expert Member Joined Apr 26, 2013 Posts 5,743 Reaction score 12,369 Sep 6, 2025 #3 Secure VPN
adriz JF-Expert Member Joined Sep 2, 2017 Posts 15,568 Reaction score 33,954 Sep 6, 2025 #4 issac77 said: Secure VPN Click to expand... Hii unaweza kuperuzi for free ?
issac77 JF-Expert Member Joined Apr 26, 2013 Posts 5,743 Reaction score 12,369 Sep 6, 2025 #5 adriz said: Hii unaweza kuperuzi for free ? Click to expand... Hiyo free unamaanisha Nini, free data ama?
adriz said: Hii unaweza kuperuzi for free ? Click to expand... Hiyo free unamaanisha Nini, free data ama?
adriz JF-Expert Member Joined Sep 2, 2017 Posts 15,568 Reaction score 33,954 Sep 6, 2025 #6 issac77 said: Hiyo free unamaanisha Nini, free data ama? Click to expand... Namaanisha hiyo "secure VPN " ni Vpn ya kitonga yaani bila kuweka bando unaweza kuperuzi ?
issac77 said: Hiyo free unamaanisha Nini, free data ama? Click to expand... Namaanisha hiyo "secure VPN " ni Vpn ya kitonga yaani bila kuweka bando unaweza kuperuzi ?
Vincenzo Jr Platinum Member Joined Sep 23, 2020 Posts 32,356 Reaction score 80,148 Sep 6, 2025 #7 Hakuna kwa sasa mkuu nunua bando tu au lipia unlimited data
Vincenzo Jr Platinum Member Joined Sep 23, 2020 Posts 32,356 Reaction score 80,148 Sep 6, 2025 #8 adriz said: Namaanisha hiyo "secure VPN " ni Vpn ya kitonga yaani bila kuweka bando unaweza kuperuzi ? Click to expand... Ipo lakini mwisho mb 60 tu
adriz said: Namaanisha hiyo "secure VPN " ni Vpn ya kitonga yaani bila kuweka bando unaweza kuperuzi ? Click to expand... Ipo lakini mwisho mb 60 tu
adriz JF-Expert Member Joined Sep 2, 2017 Posts 15,568 Reaction score 33,954 Sep 6, 2025 #9 Vincenzo Jr said: Ipo lakini mwisho mb 60 tu Click to expand... Kama MB 60 si Bora nitumie za tuzo points tu
Vincenzo Jr said: Ipo lakini mwisho mb 60 tu Click to expand... Kama MB 60 si Bora nitumie za tuzo points tu
issac77 JF-Expert Member Joined Apr 26, 2013 Posts 5,743 Reaction score 12,369 Sep 6, 2025 #10 adriz said: Namaanisha hiyo "secure VPN " ni Vpn ya kitonga yaani bila kuweka bando unaweza kuperuzi ? Click to expand... Hapana mkuu
adriz said: Namaanisha hiyo "secure VPN " ni Vpn ya kitonga yaani bila kuweka bando unaweza kuperuzi ? Click to expand... Hapana mkuu
Vincenzo Jr Platinum Member Joined Sep 23, 2020 Posts 32,356 Reaction score 80,148 Sep 6, 2025 #11 adriz said: Kama MB 60 si Bora nitumie za tuzo points tu Click to expand... πππ Exactly π― mkuu au tumia hii kama mtaani kwenu washafika
adriz said: Kama MB 60 si Bora nitumie za tuzo points tu Click to expand... πππ Exactly π― mkuu au tumia hii kama mtaani kwenu washafika
adriz JF-Expert Member Joined Sep 2, 2017 Posts 15,568 Reaction score 33,954 Sep 6, 2025 #12 Vincenzo Jr said: Hakuna kwa sasa mkuu nunua bando tu au lipia unlimited data Click to expand... Nimezoea nilipotoka full Wi-Fi muda wode najiachia sasa hivi natumia bando la kwangu naenda kwa bajeti Kali ni JF , gugo , Al tu . YouTube nachungulia kwa machale Insta ndio nimeacha kabisa.
Vincenzo Jr said: Hakuna kwa sasa mkuu nunua bando tu au lipia unlimited data Click to expand... Nimezoea nilipotoka full Wi-Fi muda wode najiachia sasa hivi natumia bando la kwangu naenda kwa bajeti Kali ni JF , gugo , Al tu . YouTube nachungulia kwa machale Insta ndio nimeacha kabisa.
adriz JF-Expert Member Joined Sep 2, 2017 Posts 15,568 Reaction score 33,954 Sep 6, 2025 #13 Vincenzo Jr said: πππ Exactly π― mkuu au tumia hii kama mtaani kwenu washafikaView attachment 3466370 Click to expand... Unlimited kwa muda gani ? Tatizo sikai sehemu Moja ni mtu wa kuhama hama sana kutokana na harakati zangu.
Vincenzo Jr said: πππ Exactly π― mkuu au tumia hii kama mtaani kwenu washafikaView attachment 3466370 Click to expand... Unlimited kwa muda gani ? Tatizo sikai sehemu Moja ni mtu wa kuhama hama sana kutokana na harakati zangu.
issac77 JF-Expert Member Joined Apr 26, 2013 Posts 5,743 Reaction score 12,369 Sep 6, 2025 #14 Vincenzo Jr said: πππ Exactly π― mkuu au tumia hii kama mtaani kwenu washafikaView attachment 3466370 Click to expand... Hii ikoje mkuu
Vincenzo Jr said: πππ Exactly π― mkuu au tumia hii kama mtaani kwenu washafikaView attachment 3466370 Click to expand... Hii ikoje mkuu
Kubwjing JF-Expert Member Joined Aug 2, 2025 Posts 1,867 Reaction score 2,840 Sep 6, 2025 #15 brave Mwafrika said: Habari za jioni, naomba kujua nitumie VPN gani ili niweze kutumia network for free?? Mimi natumia laini ya Halotel pamoja yas Click to expand... Turbo VPN hutajuta
brave Mwafrika said: Habari za jioni, naomba kujua nitumie VPN gani ili niweze kutumia network for free?? Mimi natumia laini ya Halotel pamoja yas Click to expand... Turbo VPN hutajuta
adriz JF-Expert Member Joined Sep 2, 2017 Posts 15,568 Reaction score 33,954 Sep 6, 2025 #16 issac77 said: Hapana mkuu Click to expand... Sasa ulicoment hapo 'Secure Vpn ' ulikuwa unamaanisha Nini na kwa Lengo lipi ?
issac77 said: Hapana mkuu Click to expand... Sasa ulicoment hapo 'Secure Vpn ' ulikuwa unamaanisha Nini na kwa Lengo lipi ?
hearly JF-Expert Member Joined Jun 19, 2014 Posts 51,534 Reaction score 73,804 Sep 6, 2025 #17 issac77 said: Hii ikoje mkuu Click to expand... Nasubiri jibu pia
Doji MD JF-Expert Member Joined Dec 27, 2019 Posts 2,472 Reaction score 5,323 Sep 6, 2025 #18 Kasajili line ya Bando Halo shop bure, then lipia kwamwezi
Sipendi Uchawa JF-Expert Member Joined Dec 19, 2016 Posts 7,942 Reaction score 12,505 Sep 6, 2025 #19 brave Mwafrika said: Habari za jioni, naomba kujua nitumie VPN gani ili niweze kutumia network for free?? Mimi natumia laini ya Halotel pamoja yas Click to expand... Vya bure vinaua
brave Mwafrika said: Habari za jioni, naomba kujua nitumie VPN gani ili niweze kutumia network for free?? Mimi natumia laini ya Halotel pamoja yas Click to expand... Vya bure vinaua
adriz JF-Expert Member Joined Sep 2, 2017 Posts 15,568 Reaction score 33,954 Sep 6, 2025 #20 Sipendi Uchawa said: Vya bure vinaua Click to expand... Haviui mkuu ndio maana umetoa ushauri wa Bure hapo βοΈβοΈβοΈ
Sipendi Uchawa said: Vya bure vinaua Click to expand... Haviui mkuu ndio maana umetoa ushauri wa Bure hapo βοΈβοΈβοΈ