Habari wanajukwaa ningependa kufahamu kama ukitumia vpn applications basi inaweza kuongeza speed ya intanet maana nimeshuhudia kila nikitumia vpn basi hata name of the isp provider linabadilika kwa mfano nikibadili location na kutumia location labda ya USA basi hata ISP provider linaleta jina la USA....
Nimeuliza hivo maana kuna thread niliiona humu ndani ilidai ISP providers wetu wa kibongo wanatubania kwenye ishu ya speed za intanet so kwa mfano ukatumia vpn na jina la isp likabadilika je na speed yako ya intaneti itabadilika? Naomba msaada wenu