Vpl Top Four 2019/2020 Prediction

mugah di matheo

JF-Expert Member
Jul 28, 2018
6,276
12,335
Karibuni wanajukwaa tujadili kwa hali na mwenendo wa vpl unazani ni nan atabaki top four nakufuzu international tournaments at end of season? Itapendeza ukaweka na bottom four zitakazo regulate
Top four yangu
Simba
Azam
Kagera
Costal union
Botom four
Singida
Ndanda
Mbeya city
Biashara
Note:Sijaweka yanga na tz prison nisiulizwe kwa nini ila sina chuki nao
 
Yangu ni hii ya uhakika bila ushabiki

1. Simba
2. Yanga
3.Azam
4. Kagera

Bottom
17. Mwadui
18. Mbeya city
19.Singida
20. Ndanda
 
Yangu ni hii ya uhakika bila ushabiki

1. Simba
2. Yanga
3.Azam
4. Kagera

Bottom
17. Mwadui
18. Mbeya city
19.Singida
20. Ndanda
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom