Na hakuna goli la Offside kama lile la jamaa zetu
Tafuta atlasiSpain ipi?
Mavugo na aggeyWafungaji nani???
5G hiyo4G hiyo
Lile goal limetutia aibu sana Kama taifaNa hakuna goli la Offside kama lile la jamaa zetu
Manyoya fc,mpesa fc en meza fc bila kusahau kuwa wao n ng'ombe fc(MO fc)Malalamiko fc
Tuanze kuichunguza timu ya bil1.3 halafu inafanya dhulma ili kushindaWalikula ganji waikazie simba, huu mpira sio ule waliocheza na simba hii timu ichunguzwe
MavugoNani kapiga la nne
5 imependeza zaidiTatu mzuka
Hahahaha kiongozi mara hii umesahau kua hao mbeya city walikua wanacheza na timu iliyokulaza na viatu?Hii game unaweza sema Mbeya City wameuza mechi asee,wanakaba Kimdebwedo sana
Kweli goli la chirwa la tatu sio la hapa bongo la giroudMbeya city na mikia fc hii league ni saizi yao,kwa yanga labda ipelekwe league ya spain
Spai ya kinondoniMbeya city na mikia fc hii league ni saizi yao,kwa yanga labda ipelekwe league ya spain
Chirwa amefunga Hat trick...Emmanuel Martin amefunga mawili..Wafungaji nani???
Njombe nna uhakika wameonewa,azam mbeleko sana siku hizi,nimeangalia game tatu walizocheza aisee ni aibuNjombe mji 0 Azam 1
Mtibwa 0 Kagera sugar 1
Yanga 5 Mbeya city 0
Njombe nna uhakika wameonewa,azam mbeleko sana siku hizi,nimeangalia game tatu walizocheza aisee ni aibuNjombe mji 0 Azam 1
Mtibwa 0 Kagera sugar 1
Yanga 5 Mbeya city 0