Danny greeny
JF-Expert Member
- Feb 6, 2014
- 3,856
- 1,648
Barthez anatuokoa hapa krosi ya farid mussa
Kila la heri Simba sports club, Azam na Yanga toeni draw.
Yanga kwa uchezaji huu hawachomoki
Hata wakitoa draw sharubu haongozi ligi
Hawa Mbeya City watageuka kuwa Simba Veteran; wana Juma Kaseja, Juma Nyosso, Haruna Shamte na Haruna Moshi Boban.