Prison mbona mnamnyima raha hivyo mkuu Freeland?
Ratiba ya simba siku hz,kila mechi wanayoshinda inayofatA wanafungwa,nawaombea kila la heri mshinde mechi ya leo ili mechi ijayo.....
Sasa mtaona mkutano wa kesho utakavyokua vicheko....then next match tunapigwa....na inayofuata tuna draw
Akikoswa koswa sana ana 4 leo mjelajela.
Mkuu be positive, acha kuwaza mabaya tu, wewe unadhani timu ikifanya vibaya ndo mkutano utaenda vizuri? si ajabu watu wakadundana kwenye mkutano na kuondoka bila mwafaka wowote.
Pamoja na haya matokeo, bado uongozi unatakiwa ukae chini na kutafuta njia ya kufuta tofauti za wanachama.
Alafu nilikuwa naangalia sports bar jana, kuna mtangazaji alisema kuwa ni tetesi tu, hakuwa na uhakika ila alipenyezewa kuwa simba iliwasili jana asubuhi toka shinyanga, sasa kama hizi ni habari za kweli, uongozi una matatizo zaidi ya wanasimba tujuavyo.