Huyo mama wa escrow mwenyewe anaipenda Simba yaani ni shabiki wa kutupwa na ikitokea Simba imefungwa anaumia zaidi kuliko hata kuombwa kuwapisha ili wateue mwingine.una utani wewe...subiri hasira za Tiba ziishie kwenu...wametumwa na mama wa escrow kuja kufanya kazi!!
una utani wewe...subiri hasira za Tiba ziishie kwenu...wametumwa na mama wa escrow kuja kufanya kazi!!
Mbona mapema sana!!!! na mtamkumbuka sana Tambwe mwaka huu subir aanze kutikisa nyavu za azam hapo jumapiliAmis tambwe bado alikuwa na nafasi yake ndani ya timu huyu serernkuma sina hakina sana kama ataiweza ligi ya bongo
Amis tambwe bado alikuwa na nafasi yake ndani ya timu huyu serernkuma sina hakina sana kama ataiweza ligi ya bongo
simba wameanza kwa kushambulia
Shida yenu mnakamia yanga tu
yaani wao mechi zote washindwe lakini si yangu...upuuzi kweli!!watashinda ligi kwa kumfunga yanga!!Shida yenu mnakamia yanga tu
wenyewe wakukuruke tu mwisho wa siku watatulizwa...simba wameanza kwa kushambulia
Mkifunga nimention....nipo uingereza kupitia ss3
Amis tambwe bado alikuwa na nafasi yake ndani ya timu huyu serernkuma sina hakina sana kama ataiweza ligi ya bongo
Kipindi cha pili naona timu zote zinashambuliana kwa kasi.