Yaweza kuwa kweli maanake simba hii kuifunga yanga!!!!!kufungwa yanga na simba baadhi wachezaji walitaka maximo atoke
huwa siamini ktk nguvu za giza lkn nikifikiria simba wanavyoifunga yanga nashindwa kufuta kabisa dhana hiyo
tulia mkuu mpira bado huu alafu kumbuka jumapili unacheza na mbabe wako rambaramba
huwa siamini ktk nguvu za giza lkn nikifikiria simba wanavyoifunga yanga nashindwa kufuta kabisa dhana hiyo
Ni Kweli Kabisa Hawa Simba Washirikina Wakubwa, Yaani Mchezaji Mmoja Wa Yanga Ni Sawa Na Wachezaji 5 Wa Simba Lakini Ndo Hivyo Tena Ukikutana Nao Ni Harufu Ya Mizizi Na Ubani Mwili Nzima.
Awadh juma wa simba anapewa kadi ya njano kwa kucheza faulo
Mkuu naona unaomba kesho isiingie teh teh boco haramu anakusubiri
Duuuh........ndio wamesema hivyo?? Haiwezekani, zote zilizobaki tunashinda.Mtamfukuza tu, mdudu wa sare kafa kaibuka mdudu wa kufungwa. UKAWA wamesema Simba itapoteza mechi 6 mfululizo, bado 5 tu ndipo Aveva atatambua uwepo wao.
Nawaonea huruma kipigo mtakachokipata kutoka kwa vijana wa azam waliotoka kujifua huko Uganda.Natamani hiyo kesho ifike faster ili tuoneshe uwezo wetu. Mnyama katuharibia sana CV kesho tunarudisha heshima yetu. Wahariri wa magazeti wahakikishe wanachapisha nakala za kutosha maana msimu wa kuuza magazeti yao umewadia.
Nawaonea huruma kipigo mtakachokipata kutoka kwa vijana wa azam waliotoka kujifua huko Uganda.
Nawaonea huruma kipigo mtakachokipata kutoka kwa vijana wa azam waliotoka kujifua huko Uganda.
Pole yako sana