Hivi mbona simba wanashangilia sana hii sare?
Prison katoa Droo ya 2-2Mtibwa kapigwa,prison kapigwa
Team bora inafanya nn nafasi ya Tisa?
ligi bado sana hii mkuu hata usihofu.simba iko vizur.hadi sasa imepoteza mchezo mmoja tu.hakuna timu nyingine kama hiyo
Yamekuwa hayo tena
Simba bado saana
Ndemla leo hakuwa kwenye form timu ilikosa nguvu katikati
kwa ujumla timu haiwezi cheza dakika 90
ikifika dakika 60 tu wote hooi...
beki ni kama yupo mmoja tu Isihaka
sub hakuna wapo wachovu tu kama kisiga
kipa bado anafanya mistakes za kitoto kabisa

miridhiko at work..Kiwango cha Azam fc hakiendani na huduma na matunzo wanayopewa!! Cha kawaida mnoooo.
ligi bado sana hii mkuu hata usihofu.simba iko vizur.hadi sasa imepoteza mchezo mmoja tu.hakuna timu nyingine kama hiyo
matokeo ya leo huenda yalikua mazuri sana kwa Yanga lkn nadhani ligi bado sana