mimi nitakuwa maji maji stadium kushangilia chama letu majimaji!!
kwani ndo timu itakayochukua nafasi ya Simba ambayo inashuka daraja mwaka huu.
simba haitoki hapo gas city
Yanga vs ruvu shooting uwanja wa taifa dar. Ndanda fc ya mtwara vs Simba ya dar uwanja wa Nangwanda hapa mkoani mtwara, kutoka hapa Nangwanda mtakuwa nami reporter wenu mkolaj, na huko taifa mtakuwa na makoye matale akishirikiana na Amavubi, huko Shinyanga Azam fc vs Stand united mtakuwa nae Deo corleon. Karibu sana wadau wote wa mpira miguu.
zimefika na namsihi Mkolaji amuachie huyo demu ili aweze kuripoti vizuri
nimeupenda mwandiko wako mzuriHakika simba hatoki bila kujeruhiwa hapa the gas city wana mtwara wote kwa pamoja bila kujali tofauti zetu tumeungana ili kuhakikisha mnyama hatoki salama kwenye nyika hizi za makonde.
Yanga vs ruvu shooting uwanja wa taifa dar. Ndanda fc ya mtwara vs Simba ya dar uwanja wa Nangwanda hapa mkoani mtwara, kutoka hapa Nangwanda mtakuwa nami reporter wenu mkolaj, na huko taifa mtakuwa na makoye matale akishirikiana na Amavubi, huko Shinyanga Azam fc vs Stand united mtakuwa nae Deo corleon. Karibu sana wadau wote wa mpira miguu.
Kwa kawaida ramli za umakondeni hazidanganyi,
ndanda fc 2-0 simba
mikia ijiandae kucheza daraja la kwanza