Vp walimu Ajira Mpya mmeshapata salary?

Laurence

JF-Expert Member
Jun 11, 2011
3,104
420
Ndugu walimu wapya 2012 naomba kujua je wenzetu kuna taarifa yoyote au kuna watu wameshapata salary ya ajabumwezi huu? hapa Kigoma hali ni ngumu sana kwa sababu tokea tumeripoti tarehe 1 Febr tumepewa hela ya cku tatu tuu kwa walimu wa Kigoma Vijijini haya ndio yanayotokea na DED msaidizi juzi ametujibu jeuri sana,mwenye taarifa zaidi atujuze ili tujue mpango mzima ukoje maeneo mengine ingawa alhamisi wiki hii tutaandamana kuelekea kwa walimuMkuu wa Mkoa maana watendaji wengine wameshindwa kusolve matatizo yetu kwa wakati,nawasilisha wadau wenzangu
 
Mwanza tayari, Lindi, tayari, Temeke wamelipwa baadhi, ilala bado kabisa. kinondoni wameambiwa hakuna malipo mpaka mwez wa 3 mwishoni.
 
Ebwana walimu bado tunatoa mapovu tu, na ndo tunaelekea ktk wakati mgumu zaidi kuliko siku zilzopita, tunashauriwa tukawe ombaomba kwa wakuu wa shule nao wanajilizaliza tu kuwa hawana hela,
nashauri walimu kuchukua ruhusa ya siku 14, tukajipange mahome kuliko kuelekezwa kwenda kula kwa wakuu wa shule,
 
Mkuu Mpatanishi,hyo mikoa tajwa hapo juu ni halimashauri zote walizopewa hizo staili au ni baadhi ya halimashauri ndani ya hyo mikoa? kwa kweli walimu wanaishi maisha magumu sana lakn tutawaonesha tu kua sie ni watu wa aina gani mara tuanzapo kupata staili zetu,nazungumzia elimu ya uraia kwa maeneo tutakapokuwepo walimu wenzangu
 
ni baadhi ya halmashauri tu.

Jana Ilala varangati kubwa manispaa Ilala mkurugenzi akakimbia ofisi, watu wakaandamana mpaka boma kwa mkuu wa mkoa. Afisa elimu mkoa kaahidi kukaa vikao kujadili jinsi watakavyolipa so j3 saa 3 watu wakachukue jibu la kueleweka.
 
Unajua sisi walimu wanatuonea sana very soon tutaungana na madaktari.
 
Mjipange baada ya madakatari nanyi mnaanza ili mambo yenu yawe sorted out once and for all.
ILi muachane na huu mgomo baridi wa kusababisha wanetu waferi mitihani na mtuu mpaka darasa la saba hajui kusoma
 
Mkuu umeeleweka lakn kwa muda huu nakusanya data za uhakika ili nikuletee shule ambazo zinaingiza wanafunzi ambao wamefeli darasa la saba then wanajoin form one,nakusanya data then ntaziachia hapa hapa maana hawa ndio sehemu ya hizi zero mfano juzi mwanafunzi anaomba kuingia ndani eti anasema ''Please teacher may I go out? tusubiri kidogo
 
Unajua sisi walimu wanatuonea sana very soon tutaungana na madaktari.
Mkuu nami ni mwalimu pia lakn kwa mfumo huu lazima tuanze kufumua system nzima ya CWT maana hawa ndio kikwazo kwetu kwa sababu kuna uzoefu wa kuandaliwa Migomo mwisho wa cku watu mnaambiwa Mgomo umesitishwa,kwa hyo hapa tuanze na hawa wazee wa CWT hope wanafahamika vema
 
Hapa ndo ile kauli "ualim ni wito" inapotokea..
Hizo zilikua enzi za mwalimu sio enzi hizi ambazo mimi niko shule kwa kipindi cha miaka 18 hivi,kwa hyo huo ni ubabaishaji.
 
Ndugu walimu wapya 2012 naomba kujua je wenzetu kuna taarifa yoyote au kuna watu wameshapata salary ya ajabumwezi huu? hapa Kigoma hali ni ngumu sana kwa sababu tokea tumeripoti tarehe 1 Febr tumepewa hela ya cku tatu tuu kwa walimu wa Kigoma Vijijini haya ndio yanayotokea na DED msaidizi juzi ametujibu jeuri sana,mwenye taarifa zaidi atujuze ili tujue mpango mzima ukoje maeneo mengine ingawa alhamisi wiki hii tutaandamana kuelekea kwa walimuMkuu wa Mkoa maana watendaji wengine wameshindwa kusolve matatizo yetu kwa wakati,nawasilisha wadau wenzangu

Wakati wa maandamano mjue kuwa polec wa sasa wametumwa kuja kuuwa kwa risasi za moto na si vinginevyo kwahiyo mjihadhari na nyie mmwe na zana mbadala za kukabiliana nao au muazime bullet prof
 
Kwanini msiwe wamoja kama madaktari? Mkiamua jambo mnaamua bila kugeuka nyuma wala kuogopa vitisho vinavyotolewa na serikali
 
Hilo litawezekana kama hamtawategemea CWT.
utaungana vp na mwl wa primary xul mwnye 4 ya 28 ambaye akifukuzwa hana plan b? Au mwl ambaye amebakiza mwaka mmoja astaafu kazi? Waalim wa degree na diploma waungane na lecturers waachane na pr. school teachers ndo wapanukishe! Otherwise they ar jus building castles in the air!!
 
Waheshimiwa vp huko kuna halmashauri yeyote wameisha lipa walimu wapya msharaha wa feb toka serikali kuu(hazina)?
 
Ndugu walimu wapya 2012 naomba kujua je wenzetu kuna taarifa yoyote au kuna watu wameshapata salary ya ajabumwezi huu? hapa Kigoma hali ni ngumu sana kwa sababu tokea tumeripoti tarehe 1 Febr tumepewa hela ya cku tatu tuu kwa walimu wa Kigoma Vijijini haya ndio yanayotokea na DED msaidizi juzi ametujibu jeuri sana,mwenye taarifa zaidi atujuze ili tujue mpango mzima ukoje maeneo mengine ingawa alhamisi wiki hii tutaandamana kuelekea kwa walimuMkuu wa Mkoa maana watendaji wengine wameshindwa kusolve matatizo yetu kwa wakati,nawasilisha wadau wenzangu

Huku kwetu Halmashauri ya Mpwapwa kalipwa mmoja tu! wengine hatujui hatma yetu
 
Back
Top Bottom