Jitahidi angalau upate chumba na sebule,chumba 1 du sasa chupi utaanika wapi?,ukitembelewa na bi mkubwa na dadazako nguo utabadilishia wapi?,ok ni mtizamo wangu tu.
Rudi KIMBIJI aaaaaalaaaaa.
Nipeni uzoefu wenu kuhusu
maisha ya kuishi chumba kimoja, hii ni kwa wale wenzangu na mimi wenye
maisha ya kawaida kabisa kibongo.
ki ukweli mimi nasumbuka sana japo ina jinsi kwa sasa maana kwa uwezo
wangu inabidi tu niishi hivi!!