G M S JF-Expert Member Joined Mar 30, 2011 Posts 502 Reaction score 53 Mar 22, 2016 #1 Jamani hivi kwa wale waliofuatilia uzimwaji wa simu kwa kurejea mfano wa nchi jirani ya Kenya je tecno zimesalimika???????
Jamani hivi kwa wale waliofuatilia uzimwaji wa simu kwa kurejea mfano wa nchi jirani ya Kenya je tecno zimesalimika???????
ze kokuyo JF-Expert Member Joined Jan 24, 2014 Posts 7,476 Reaction score 9,654 Mar 22, 2016 #2 Hv ni nan kawaambia tecno zinazimwa?!
mnyaga1 Senior Member Joined Sep 24, 2014 Posts 184 Reaction score 104 Mar 23, 2016 #3 Kinchozimwa ni cm feki... haijalishi ni nokia, samsung, etc....
mnyaga1 Senior Member Joined Sep 24, 2014 Posts 184 Reaction score 104 Mar 23, 2016 #4 Tecno mbna wana cm nyingi sana og compared to samsung ambao macopy yamejaa
Kaisari JF-Expert Member Joined Nov 13, 2012 Posts 3,636 Reaction score 3,046 Mar 23, 2016 #5 Techno zinatokea nchi gani. Asili yake ?
ZING SOKONI JF-Expert Member Joined Aug 1, 2014 Posts 19,512 Reaction score 57,105 Mar 23, 2016 #6 Usidanganyike kununua simu za Tecno. Kwanza haijulikani hizi simu zinatengenezwa na kampuni za Nchi gani!
Usidanganyike kununua simu za Tecno. Kwanza haijulikani hizi simu zinatengenezwa na kampuni za Nchi gani!
TheGreatASA JF-Expert Member Joined Jun 26, 2014 Posts 302 Reaction score 393 Mar 23, 2016 #7 youngblood said: Usidanganyike kununua simu za Tecno. Kwanza haijulikani hizi simu zinatengenezwa na kampuni za Nchi gani! Click to expand... Mimi sijaona tecno feki, simu nyingi feki mtaani ni Samsung, Huawei, HTC na nyingine nyingi tu. Hata mitaa ya Posta Dar vijana wengi wanasimama barabarani kuuza simu feki nyingi ni Samsung, sijaona Tecno barabarani.
youngblood said: Usidanganyike kununua simu za Tecno. Kwanza haijulikani hizi simu zinatengenezwa na kampuni za Nchi gani! Click to expand... Mimi sijaona tecno feki, simu nyingi feki mtaani ni Samsung, Huawei, HTC na nyingine nyingi tu. Hata mitaa ya Posta Dar vijana wengi wanasimama barabarani kuuza simu feki nyingi ni Samsung, sijaona Tecno barabarani.