Vote of no confidence with the speaker

Najijua

JF-Expert Member
Nov 5, 2010
1,039
180
WAKUU: Yeyote anayejua hatua stahiki zinazotakikana ili ipigwe kura ya kutokuwa na Imani na speaker atueleze tuone kwa namna gani tunaweza washauri na kuwataka wabunge wetu watekeleze jambo hili.

Kwa namna anavyolipeleka bunge sivyo, kuna mtu amenita hadharisha kuwa hata uasi huanza kwa mambo makubwa na madogo kama yatokayo bungeni. Haya si ya kuyavumilia hata kidogo.

Naamini wabunge wetu wakishindwa sisi tunaweza washurutisha nje ya bunge kufanya tuyatakayo kwa kuwa wapo kwa niaba yetu sisi na wanawakilisha mawazo na mitazamo yetu
 
Hakuna mwenye ubavu wa kuorganize hiyo kitu katika bunge letu,labda kama ni CDM sawa lakini kama inaanzia kwa hao CUF aka CCM B please waache kutumalizia muda wetu hapa
 
Back
Top Bottom