Tumewatanguliza na baiskeli ya miti, haya sasa tunaongeza spidi.
Tumia siku hizi mbili zilizobaki kwa umakini kwa kumchagua Madame B kuwa Miss Chit-Chat 2012.
Hakikisha hufanyi kosa kwenye kuchagua, Chagua jembe la ukweli Madame B.
Chagua Madame B leo.
Chagua Madame B sasa.