kupata kazi bila experience ni ngumu mkuu nimekosa kazi nzuri akapewa mwenye uzoefu japo nilifanya vizuri sana katika oral interview kwenye kampuni moja hiviMambo ya kujotolea wakati wenzio mwisho wa mwezi wanakunja mshiko ndo kitu ambacho kilishanishinda toka namaliza chuo.Bora utafute ajira sababu siku hizi nguvu unayotumia kutafuta ajira ya kujitolea haina tofauti na nguvu unayotumia kutafuta ajira ya kulipwa.