Volkswagen inauzwa

Volkswagen inauzwa

hanti

Member
Joined
Nov 27, 2013
Posts
83
Reaction score
10
Gari aina ya Volkswagen touran 1.6FSI ya mwaka 2004 inauzwa. Ina km 120,000 cc1590 ni automatic inayotumia petrol. Ina milango 5 na siti 7 Iko kwenye hali nzuri ni namba c.
 
Inawezekana vipi utangaze biashara mtandaoni bila kuweka picha??? Tupia picha jamvin
 
Jamani habari za kazi, nataka kuupload picha nashindwa naomba mnielekeze
 
Inauzwa
 

Attachments

  • 1437584329989.jpg
    1437584329989.jpg
    43.4 KB · Views: 425
  • 1437584346309.jpg
    1437584346309.jpg
    66.9 KB · Views: 418
Inatumia petrol kwa km 12 with ac na ukiwa safari ndefu inaenda mpaka 14
 
Inatumia petrol km 12 with ac but ukiwa safari ndefu inaenda mpaka 14
 
Imetulia hii mashine ila sasa ishu iko kwenye maintenance
 
Uzuri ni kwamba hazisumbui hata kidogo na ukifunga spare kuja kubadilisha inachukua muda sana
 
Back
Top Bottom